Mary Earps

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mary Earps
Mary Earps 20181009 (cropped).jpg
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 7 Machi 1993
Mahala pa kuzaliwa    Uingereza
Nafasi anayochezea mchezaji wa soka wa nchini Uingereza ambaye anacheza kama golikipa

* Magoli alioshinda

Mary Alexandra Earps (alizaliwa 7 Machi 1993) ni mchezaji wa soka wa nchini Uingereza ambaye anacheza kama golikipa kwenye ligi ya FA WSL kwenye timu ya wanawake ya manchester united na timu ya taifa ya Uingereza.

Awali alicheza kwenye vilabu vingi vya ligi ya FA WSL kama vile Bristol Academy, Birmingham City, Doncaster Belles, na Reading, na kwenye ligi ya Bundesliga nakuchezea timu ya wanawake ya VfL Wolfsburg.[1] Earps amewakilisha timu ya uingereza chini ya umri wa miaka 17, chini ya 19, na chini ya umri wa miaka 23,[2][3][4] na alikua mchezaji mwenye kiwango kikubwa na kushinda senior cap mnamo mwaka 2017.[5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mary Earps: Bristol Academy keeper among four to re-sign". BBC. 19 January 2015. Iliwekwa mnamo 17 May 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Lavery, Glenn (23 Sep 2015). "Caitlin Leach hopes to follow in Mary Earps' footsteps". England FA. Iliwekwa mnamo 17 May 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. Trehan, Dev (17 March 2015). "Bristol Academy and England U23 goalkeeper Mary Earps eyes Rio 2016 Olympics". Sky Sports. Iliwekwa mnamo 17 May 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. Bradbury, Jamie (26 Apr 2015). "Mary Earps: I don't know where I'd be without football". England FA. Iliwekwa mnamo 17 May 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. "Mary Earps: Women's Champions League finalists Wolfsburg's new ex-West Bridgford Colts star", BBC Sport, 18 September 2018. Retrieved on 27 February 2019. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mary Earps kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.