Marta Stobba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marta Stobba

Marta Stobba (alizaliwa 15 Mei 1986 ) ni mchezaji wa soka wa nchini poland. Anacheza kama kiungo wa timu ya wanawake ya BV Cloppenburg huko Ujerumani.[1][2] Awali alichezea timu ya Czarni Sosnowiec, Gol Częstochowa na Unia Racibórz kwenye ligi ya Ekstraliga huko poland.[3]Pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya poland. [4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 2011-12 squad Archived 4 Machi 2016 at the Wayback Machine. in Cloppenburg's website
  2. Statistics in Soccerway
  3. Statistics in 90minut.pl
  4. Statistics in FIFA's website
  5. Profile in UEFA's website
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marta Stobba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.