Nenda kwa yaliyomo

Marie-Louise Sibazuri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marie-Louise Sibazuri (Alizaliwa 2 Januari 1960) [1] ni mwanaharakati wa haki za wanawake wa Burundi na mwalimu ambaye alijitolea wakati wake kuandika tangu 1993. Mbali na kuwa mwandishi mahiri wa tamthilia, anajulikana sana kama mwandishi wa redio maarufu.[2][3]

  1. https://www.liberation.fr/portrait/1998/07/09/marie-louise-sibazuri-38-ans-ecrit-pour-la-radio-du-burundi-des-feuilletons-ou-se-confondent-hutus-e_243503
  2. https://www.lecourrieraustralien.com/les-mille-vies-de-marie-louise-sibazuri-belgo-burundaise-a-melbourne/
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-24. Iliwekwa mnamo 2022-04-09.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marie-Louise Sibazuri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.