Marcela Pezet
Jump to navigation
Jump to search
Marcela Pezet (amezaliwa tar. 23 Aprili 1973) ni miwgizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Mexiko. Pezet aliwahi kuwa moja ya wasanii maarufu sana katika miaka ya 2000, baada ya kucheza tamthilia ya La Revancha (2000) humo alitumia jina la Isabela Ruiz, ambaye pia aliigiza kuwa kama ndugu wa Soledad Ruiz, au kama weingi wanavyomjua kwa kumwita Danna Garcia.
Tamthilia alizoigiza[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Marcela Pezet katika Geocities Archived Julai 28, 2009 at the Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marcela Pezet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |