Mamlaka ya Bandari Tanzania
Mandhari
Mamlaka ya Bandari Tanzania (Kiingereza: Tanzania Ports Authority kifupi TPA) ni shirika la umma linalofanya kazi zake chini ya Wizara ya Miundombinu na Maendeleo, hiyo ndiyo inajukumu zima la kuongoza na kuendesha " bandari ya bahari na bandari ya maziwa ya nchini Tanzania.[1][2] Mamlaka haya yapo mjini Dar es Salaam. Ni bandari mwanachama wa Jumuia ya Uongozaji wa Bandari za Kusini na Mashariki mwa Afrika.
Bandari za Bahari ya Hindi
[hariri | hariri chanzo]Bandari kuu za TPA zilizopo katika Bahari ya Hindi ni Dar es Salaam, Mtwara, na Tanga; bandari zingine ndogo zinatoa huduma katika pwani ni pamoja na Lindi, Kilwa Masoko, Mafia Kisiwani, Bagamoyo, Pangani na Kwale. Bandari ya Zanzibar inajitawala chini ya Shirika la Bandari la Zanzibar.[3].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ TPA, About TPA
- ↑ "Ministry of Infrastructure Development, Front page". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-03-05. Iliwekwa mnamo 2009-06-11.
- ↑ Zanzibar Revolutionary Government, Zanzibar Port Corporation
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tanzania Ports Authority
- Ministry of Infrastructure Development Archived 25 Desemba 2008 at the Wayback Machine.
- Surface and Marine Transport Regulatory Authority, of Tanzania
- Port Management Association of Eastern and Southern Africa
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mamlaka ya Bandari Tanzania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |