Makumbusho ya Taifa ya Lusaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makumbusho ya Taifa ya Lusaka.

Makumbusho ya Taifa ya Lusaka ni makumbusho yanayopatikana katika jiji la Lusaka nchini Zambia yakiwa yanabeba historia na utamaduni wa taifa hilo.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Ujenzi wa makumbusho hayo ulianza mwaka 1980, nayo yalifunguliwa rasmi mwezi Oktoba mwaka 1996. Malengo ya mwanzo yalikuwa ni kuelezea historia ya vita baridi vya uhuru wa Zambia lakini baadaye, wakati wa kufunguliwa kwa makumbusho hayo, mawazo yalibadilika na kuwa sehemu ya kuelezea uhuru na utamaduni [1].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. About Lusaka Museum (2015-02-07). Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-01-17. Iliwekwa mnamo 2020-05-04.
Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Taifa ya Lusaka kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.