Makaburi ya kifalme ya Mauretania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makaburi ya kifalme ya Mauretania ni eneo la kihistoria la mazishi, lililopo kando ya barabara kati ya miji ya Cherchell na Algiers, katika jimbo la Tipaza nchini Algeria. Makaburi haya ndipo alipozikwa mfalme wa Numidia na Berber aitwaye Juba II (mwana wa Juba I wa Numidia). Pia alizikwa hapo malkia Cleopatra Selene II. Inasemekana kuwa wakazi wa majimbo ya Numidia na Mauretania Caesariensis walizikwa hapo pia. Japo, mabaki ya miili yao hayajapatikana kutokana na uvamizi wa makaburi .



Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Makaburi ya kifalme ya Mauretania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.