Nenda kwa yaliyomo

Juba II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya kichwa cha Juba II,katika jumba la Makumbusho la Louvre

Juba II au Juba wa Mauretania (Kilatini: Gaius Iulius Iuba; Kigiriki cha Kale: Ἰóβας, Ἰóβα au Ἰούβας;[1] 48 KK23 BK) alikuwa mwana wa Juba I na mfalme kibaraka wa Numidia (30 KK25 KK) na Mauretania (25 KK23 BK).

Kando na utawala wake uliofanikiwa sana, alikuwa msomi na mwandishi anayeheshimika sana.

Mke wake wa kwanza alikuwa Kleopatra Selene II, binti wa malkia Kleopatra VII wa Misri ya Milki ya Kiptolemaio na Marko Antonio mwanachama wa utatu wa viongozi wa Roma ya Kale.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Braund, David (2014). Rome and the Friendly King: The Character of Client Kingship. Routledge Revivals. Routledge. uk. 45. ISBN 9781317803010.
  2. Roller, Duane W. (2003) The World of Juba II and Kleopatra Selene "Routledge (UK)". pp. 1–3. ISBN 0-415-30596-9.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juba II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.