Majadiliano ya mtumiaji:Sickora Gerald
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!
Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.
Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.
Kwa mawili matatu labda tazama:
- Kuhusu ukurasa wako wa mtumiaji na kurasa nyingine
- Ukurasa wa mwongozo
- Jamii:Msaada (makala zilizomo humo zinaweza kusaidia mara nyingi)
- Ukurasa wa jumuia (pamoja na Wikipedia:Wakabidhi, penye majina walio tayari kukusaidia)
- Makala za msingi za Wikipedia
Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.
Ujue miiko:
- usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje.
- usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
- usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
- usitumie kama vyanzo vya taarifa au tanbihi <ref>Wikipedia (au mradi mwingine wa Wikimedia)</ref>, ila unaweza kutumia vyanzo vyake kwa kuvitaja vyenyewe moja kwa moja.
Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!
Welcome to Kiswahili Wikipedia!
We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:
- do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
- nor copied texts/images from other webs to this site!
- do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
- do not use as references <ref>Wikipedia (or another project of Wikimedia)</ref>, though you can use their references by writing them themselves.
As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.
MAISHA KAMA MAMA
[hariri chanzo]Sickora Gerald alizaliwa mwaka 1977 tarehe 7 mwenzi wa 7.Sickora Gerald ni mtoto wa mchungaji Lameck Tahondi kwao wali kuwa watoto 15 kwenye tumbo la mama yake na yeye akiwa mmoja wapo lakini si mtoto wa kwanza.Sickora Gerald alipatwa kuchumbiwa na Mr Gerald Alexander Rwebura baadaye walianza maisha.Katika maisha ya ki familia Sickora lameck kama jina la kwao alipata matatizo ya uzazi kwa kualibikiwa mimba mbili mtoto wa kiume wa mwaka 1995 na mtoto wa kike mwaka 1996.Lakini Sickora Gerald alimtumikia mungu munamo mwaka 1997 alibahatika kupata ujauzito na kwenda ku lazwa hospitali ya bukumbi mkoa wa mwanza.Kama alivyo kuwa na tatizo la kualibikiwa mimba lakini mwaka huu alipata neema kutoka kwa mchungaji Masunga aliye kuwa na kanisa pale bukumbi Mchungaji huyo alifunuliwa na bwana aende akaseme na Sickora Gerald aliweza kuongea na Sickora gerald na kumwambia kuwa atajifungua mtoto wa kiume na mtoto huyo ataitwa SAMWEL.Ilikuwa neema kwake lakini amani bado haikuwepo kwa sababu madaktari na manesi walisha mwambia kuzaa ni kwa opareshini lakini mchungaji kasha sema atajifungua bila opareshini.Muda ulienda bila Sickora kujifungua lakini mchungaji alimwomba mungu na kumwambia kuwa mwanamke huyu (sickora)kuwa akijifungua kwa operesheni au kufaliki yeye au kiumbe tumboni yuko tayali kuacha utumishi wa bwana muda haukupita akiwa amejifungia chumbani aliitwa na mke wake alishituka sana lakini alifarijiwa kwa kuambiwa Sickora kajifungua sarama na mtoto ni wakiume kama bwana alivyo sema,basi mtoto huyo alisha pewa jina toka tumboni la SAMWEL Mr Gerald hakuamini kama Sickora kafyatua mtoto wa kiume kwa nguvu za bwana hospital ya Bukumbi ilifunika watumishi wengi wakiwa na nguo za kiume mpaka sasa Sickora Gerald ana watoto wa nne ambaye ni SAMWEL GERALD,MARIAM GERALD,ALEX GERALD na EMANUEL GERALD
MUZIKI
[hariri chanzo]Sickora Gerald kwa kujulikana sana kama Mama Samwel alianza mziki wa kwaya gospel song mda mrefu sana mnamo mwaka 2002 waliweza kutoa album mpya kwa jina la UTUKUFU katika kanisa la P.A.G buselesele mkoani kagera kwa sasa ipo katoro mkoa wa Geita.Kwaya yao ikiwa ya kwanza kulekodi mjini katoro na baba yao akiwa mchungaji wa kanisa baadaye waliama kanisa hilo baada ya mtafaruku furani na kuka mda mrefu pasipo kuwa na kanisa maarumu yeye na familia yao kubwa kama warokole.Baadaye walifungua kanisa lao jipya kwa jina la bugayambelele njini katoro kanisa la P.A.G Bugayambelele lakini baba yake hakuwa mchungaji hivyo basi mchungaji wa kanisa alikuwa kaka yao Imsan lameck kwa sasa ni Mchungaji Iman Lameck kanisa hilo lili kuwa kama la ukoo kwani watoto wa Mzee lameck ndo waanzirishi wakuu.Sickora Gerald(Mama Samwel) aliendelea na uimbaji akiwa anajifunza kutunga baadaye kuwa mmoja wa waalimu wadogo wa kwaya hiyo na kuwa na wimbo wake kama Aman ya kweli alio tunga yeye ndani ya miaka 2006 na kushuka Kania la Bugayambelele lilikuwa na kuwa kanisa linalo kuwa kwa kasi mjini katoro na zakidi kuwa na kwaya inayo tisha kwa mimbo kama MBWA MWITU na Samwel Gerald akiwa ndo mcheza kwaya mtoto kuto wahi tokea mjini katoro.Mama Samwel aliendelea kuwa soro mpaka mwaka 2009 walipo toa album yao ya kwanza ya Usilie na kuwa watu wa kwanza kutoa video mjini katoro.Mimbo ya album hiyo ilikuwa chini ya Mwalimu kitu ya mungu akisaidiwa na mwalimu Zackaria huku Mama Samwel akiwa mtunzi ambaye hana sauti baada ya video hiyo majivuno yaliibuka kwa kitu ya mungu na mke wake kama walimu na mkewe akiwa soro mkuu.Baadaye walipigwa chini na Mzee wa Kanisa Lawi akiwa na ushauri wa Mchungaji Iman Lameck kwaya ikwa chini ya Zackaria huku Mama Samwel akapewa na yeye furusa ya kutunga mimbo baadaye ilionekana ananyimbo bora na mizuri ya kumpendeza mungu akawa Mwalimu wa kwaya ya Bethania,bethania choir.Mama samwel ameonyesha uwezo wautunzi bora huku akishirikiana na Zackaria na ku record album mpya ya Safari huku wimbo wa Mama samwel ukibeba album.Ndani ya mimbo ya album ana nyimbo mitano huku akiwa na mimbo mingi sana zilizo recordiwa na ambazo hazijarecordiwa kweye album hiyo.Leo mwaka 2014 Album ya Safari imetoka DOWNLOAD HAPA au pitia www.bethaniachoir.blogspot.com kupata nyimbo hizo za Bethania kwaya.
DOWNLOAD BETHANIA SONGS
[hariri chanzo]Baadhi ya mimbo ya Mama Samwel
- Nitayainuadownload
- Safaridownload
- Simamadownload
- Nyimbo nyinginebofya hapa
- Tembelea www.bethaniachoir.blogspot.com