Majadiliano ya mtumiaji:CASTRO YONA

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Tunapaswa kufuga mifugo yetu vizuri kwa kuzingatia lishe bora ipaswayo Ili kuifanya mifugo iwe na afya nzuri na tuijari kama sisi tunavyo jijali Asante

Ufugaji wa ng'ombe[hariri chanzo]

Tumsifu yesu kristu

Maandishi ya kichwa[hariri chanzo]

Tunapaswa kuwafuga ng'ombe wetu katika mazingira bora kwa kuwapatia lishe bora zaidi Kwa maana wanaweza kutupatia kipato katika mzunguko wetu wa maisha ya badaye Asante

Katika ufugaji wa ng,ombe kuna wa maziwa na wanyama hutupatia kipato kwahiyo tuwafuge ng,ombe wetu katika mazingira bora ahsante.

Ufinyanzi[hariri chanzo]

Ufinyanzi ni sanaa inayotumia udongo ili kuumba vitu mbalimbali kama vile Vyungu vya udongo pia ufinyanzi ni kama utamaduni kwa mwafrika Maana kabla ya vyombo vya kigeni kuingia tulitumia vyungu

=Miundombinu[hariri chanzo]

katika eno la Iringa kuhusu miundombinu inatakiwa iboreshwe hasa kwa maeneo ya vijijini,pia na maeneo machache yaliyosalia mijini na miundombinu hiyo iwe imetengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu na zenye viwango vya hali ya juu.......

                                                                                 DODOMA ni   Mji mkuu wa TZ pia ndipo mahala palipo BUNGE LA TZ ni mji unaoongoza  kwa kilimo ZABIBU mahali hapa pana kaliwa na makabila mengi kabila kuu likiwa ni wagogo

Tunapaswa kufanya mazoezi kwa bidii ili kudumisha Afya zetu na tule mlo kamili

UTAMADUNI[hariri chanzo]

Tuufuate utamaduni wetu na kuudumisha na kuuenzi

VIWANDA[hariri chanzo]

Ni sehemu muhimu ya kiuchumi ambapo bidhaa mpya za kisasa zinatengenezwa kwa kutumia malighafi. Pia serekari ya Tanzania inategemea viwanda katika kujiimarishia uchumi wake.

Ni hali ya raha upendo bila ugomvi