Majadiliano ya mtumiaji:2A03:2880:31FF:E:0:0:FACE:B00C

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kijiji cha Sungusila kinapatikana katika kata ya Nzera, Wilaya ya Geita na Mkoa wa Geita. Kijiji cha Sungusila kimepakana na kijiji cha

Mazao maarufu ni nanasi ndilo hulimwa kwa wingi kwa ajili ya biashara. Mazao mengine ni mahindi,mihogo,mtama,mpunga,Katanga,maharagwe,miwa,pamba na machungwa au machenza.

Mazao mengi ni kwa ajili ya biashara na chakula.

Kijiji cha sungusila kinazalisha mazao mengi sana ili zao kubwa ni nanasi. Pia inazalisha mimea mingi kwa uvunaji wa mbao hasa mikalibea na mikilitusi. Kuna uoto wa asili na mimea asilia isiyo ya kupanda.

Mazingira yake[hariri chanzo]

Sungusila imezungukwa na vijimilima vingi ikiwemo milima ya Fulwe.

~Upande wa elimu.

~Afya Sungusila ina kituo cha afya kiitwacho Fulwe ambacho kinategemewa na zaidi ya vijiji vitatu kama vile Sungusila, Igate, Nyalubanga, Lwenzera na Idosero.

Kijiji cha Sungusila kinategemea shule moja ya sekondari iitwayo Bugando ambayo ni shule ya kata.

Sungusila ina vitongoji vya Sungusila, Nyalukome, Fulwe (Muembeni na Mchangani), na Shilabela.

Kabila kubwa ni Wasukuma japo unaweza kupata makabila mengine kutokana na muingiliano. Zaidi ya 80% ni Wakristo na wengine ni Waislamu

(ongeza kwa mabano mraba [[...]] Jamii:Wilaya ya Geita )


Huu ni ukurasa wa majadiliano wa mtumiaji ambaye hana jina na bado hajaumba akaunti bado, au hajawahi kutumia kabisa.

Kwa hiyo tunatumia namba za anwani ya IP yake kumtambulisha. Anwani ya IP kama hiyo inaweza kutumika na watumiaji kadhaa. Labda itakusumbua kwamba kuna maoni mengine yanawekwa hapa na unaamini kwamba haya maoni hayakulengi. Ikiwa hivyo, tafadhali fungua akaunti au ingia ili kuepuka kuchanganywa na watumiaji wengine ambao hawana jina.