Mafindofindo
Mafindofindo (kwa Kiingereza Tonsillitis) ni ugonjwa unaopata findo[1][2][3].
Dalili zake ni pamoja na maumivu ya koo, homa, uvimbe wa findo na shingo, tena shida ya kumeza.[1]
Chanzo cha kawaida ni virusi, lakini pia bakteria[4].
Ikitokana na streptokoki wa kundi A, inaitwa uvimbe wa koromeo usababishwao na streptokoki (strep throat).[5]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ 1.0 1.1 Tonsillitis. Jalada kutoka ya awali juu ya 7 January 2017. Iliwekwa mnamo 30 September 2016.
- ↑ Tonsillitis. Jalada kutoka ya awali juu ya 25 March 2016. Iliwekwa mnamo 4 August 2016.
- ↑ Klug, TE; Rusan, M; Fuursted, K; Ovesen, T (August 2016). "Peritonsillar Abscess: Complication of Acute Tonsillitis or Weber's Glands Infection?". Otolaryngology--head and neck surgery : official journal of American Academy of Otolaryngology-Head and Neck Surgery 155 (2): 199–207. . .
- ↑ (2009) Encyclopedia of Molecular Mechanisms of Disease (in en). Springer Science & Business Media, 2083. ISBN 9783540671367.
- ↑ (2015) Ferri's Clinical Advisor 2016: 5 Books in 1 (in en). Elsevier Health Sciences, PA1646. ISBN 9780323378222.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mafindofindo kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |