Matokeo ya utafutaji

Showing results for metali. No results found for Meryli.
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)
  • Thumbnail for Metali
    Metali (kutoka Kiingereza metal) ni kundi la elementi zenye tabia za pamoja kama vile zinapitisha umeme kwa urahisi zinapitisha joto zinang'aa ni wayaikaji...
    3 KB (maneno 381) - 11:54, 24 Februari 2021
  • Metali alikali (kwa Kiingereza: alkali metal) ni elementi za kundi la kwanza katika mfumo radidia hasa lithi, natiri, kali, rubidi, caesi na fransi. Hidrojeni...
    3 KB (maneno 124) - 15:04, 2 Machi 2020
  • Thumbnail for Risasi (metali)
    Namba atomia yake ni 82 kwenye mfumo radidia na uzani atomia ni 118.710. Ni metali nzito na laini yenye rangi ya buluu-kijivu. Huyeyuka mapema kwenye kiwango...
    3 KB (maneno 304) - 08:44, 17 Januari 2020
  • Metali adimu ni metali zenye tabia ya kutomenyuka kwa urahisi. Haziguswi na maji au oksijeni ya hewa, tofauti na metali nyingi. Mara nyingi hutazamwa...
    3 KB (maneno 142) - 10:50, 17 Machi 2024
  • Ufuaji metali (ing. metallurgy) inamaanisha jumla ya mbinu za kushughulikia metali na elimu yake. Inahusika pia na aloi ambazo ni mchanganyiko wa metali mbalimbali...
    4 KB (maneno 635) - 17:12, 18 Machi 2023
  • Thumbnail for Muungo metali
    Muungo metali (pia: mbabadi metali, en:metallic bonding) ni jinsi atomi za metali zinavyoshikana. Kani hii yatokana na elektroni huria zinazotembea kati...
    1 KB (maneno 122) - 11:20, 18 Januari 2020
  • Metali za udongo alikalini ni mfulizo wa kikemia katika mfumo radidia unaounganisha elementi za kundi la pili yaani elementi thabiti Berili (Be), Magnesi...
    3 KB (maneno 372) - 10:46, 17 Machi 2024
  • Thumbnail for Metali ya mpito
    Metali za mpito ni kundi la metali inayopatikana katikati ya jedwali la mfumo radidia wa elementi za kikemia. Zina tabia za kufanana. Ni elementi namba...
    3 KB (maneno 171) - 10:51, 17 Machi 2024
  • Shaba (Kusanyiko Metali adimu)
    Katika mazingira ya kawaida ni metali yenye rangi ya kahawia nyekundu. Kiwango chake cha kuyeyuka ni 1,083 C°. Ni kati ya metali za kwanza wanadamu walizotumia...
    2 KB (maneno 179) - 12:00, 24 Februari 2021
  • Thumbnail for Dhahabu
    Dhahabu (Kusanyiko Metali adimu)
    uzani atomia ni 196.966569. Alama yake ni Au (kutoka Kilatini aurum). Ni metali adimu nzito yenye rangi ya njano nyeupe hadi njano nyekundu. Kiwango chake...
    3 KB (maneno 309) - 11:06, 17 Machi 2024
  • Thumbnail for Risasi
    Kwa elementi na metali angalia Risasi (metali) Risasi ni gimba dogo la metali linalorushwa kutoka kasiba ya bunduki. Mara nyingi risasi hutengenezwa kwa...
    3 KB (maneno 371) - 12:58, 7 Machi 2019
  • Chuma (Kusanyiko Metali)
    elementi na metali inayopatikana kwa wingi duniani. Kikemia ni elementi mpito yenye namba atomia 26 katika mfumo radidia. Chuma ni kati ya metali muhimu sana...
    2 KB (maneno 217) - 18:28, 13 Oktoba 2021
  • Thumbnail for Molibdeni
    Molibdeni (Kusanyiko Metali)
    molybdos metali ya risasi) ni elementi na metali ya mpito yenye namba atomia 42 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 95.94. Rangi ya metali tupu ni nyeupe-kifedha...
    1 KB (maneno 57) - 11:54, 14 Februari 2021
  • Kali (Kusanyiko Metali alikali)
    Kali (pia: potasiamu, ing. potassium) ni elementi na metali alikali yenye namba atomia 19 kwenye mfumo radidia na uzani atomia 39.098. Alama yake ni K...
    2 KB (maneno 166) - 13:23, 22 Mei 2019
  • Thumbnail for Stani
    Stani (Kusanyiko Metali)
    na uzani atomia ni 118.710. Jina ni neno la kilatini stannum kwa metali hii. Ni metali laini sana yenye rangi ya kifedha-kijivu. Huyeyuka mapema kwenye...
    2 KB (maneno 181) - 19:17, 22 Desemba 2019
  • mmenyuko unaongezeka katika mfululizo wa metali alkali. Mifululizo kadhaa ni sawa na makundi ya mfumo radidia kwa mfano metali alkali ni sawa na kundi 1....
    516 bytes (maneno 65) - 11:47, 18 Machi 2019
  • Thumbnail for Rodi
    Rodi (Kusanyiko Metali adimu)
    elementi na metali haba duniani. Kikemia ni elementi ya mpito yenye kifupi cha Rh na namba atomia 45 katika mfumo radidia. Rhodi ni metali ngumu yenye...
    1 KB (maneno 82) - 12:06, 24 Februari 2021
  • Thumbnail for Paladi
    Paladi (Kusanyiko Metali adimu)
    sahili ya metali na elementi. Namba atomia yake ni 46 katika mfumo radidia, uzani atomia ni 106.42. Katika mazingira ya kawaida ni metali laini yenye...
    1 KB (maneno 92) - 12:03, 24 Februari 2021
  • Thumbnail for Ardhi adimu
    Ardhi adimu (pia: metali za ardhi adimu; kwa Kiingereza: rare earth elements, rare earth metals) ni jumla ya elementi 17 za kikemia zikiwa lanthanidi 15...
    12 KB (maneno 955) - 22:58, 2 Februari 2024
  • Thumbnail for Kemikali
    ambayo ni maungano ya hidrojeni na oksijeni aloi yaani muungano wa metali mbili au metali moja na dutu nyingine mchanganyiko wa dutu kama asidi hidrokloridi...
    789 bytes (maneno 86) - 08:03, 27 Mei 2022
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)