Matokeo ya utafutaji
Mandhari
- Kwa matumizi tofauti ya jina Mara angalia hapa Mara (maana) Mto Mara ni mto wa Kenya na Tanzania. Beseni lake ni la km2 13,504, ambazo 65% ziko Kenya na...2 KB (maneno 140) - 11:07, 8 Februari 2022
- Mto Nile (pia: Naili; kwa Kiarabu: ,النيل an-nīl) ni mto mkubwa upande wa mashariki ya bara la Afrika. Mara nyingi hutajwa kuwa pia ni mto mrefu kabisa...6 KB (maneno 557) - 05:09, 12 Septemba 2021
- Bahari ya Mediteranea (pia: Bahari ya Kati) ni bahari ya pembeni ya Atlantiki kati ya mabara ya Afrika, Ulaya na Asia ya Magharibi. Eneo lake ni takriban...2 KB (maneno 272) - 08:39, 9 Mei 2022
- Mto Laga Bor ni korongo linalopatikana katika kaunti ya Wajir, kaskazini mashariki mwa Kenya. Maji yake yanaishia katika mto Juba ambao unaingia katika...540 bytes (maneno 40) - 14:19, 29 Septemba 2018
- Mto Chania (Nyeri) unapatikana katika kaunti ya Nyeri, katikati ya Kenya. Ni tawimto la mto Sagana ambao unaingia katika mto Tana ambao ndio mrefu kuliko...538 bytes (maneno 45) - 14:17, 30 Agosti 2020
- Tarehe (kutoka Kiarabu تاریخ tarih kwa maana ya "historia") ni namna ya kutaja historia, lakini kwa kawaida zaidi nafasi ya siku fulani ndani ya mfumo...3 KB (maneno 434) - 09:44, 16 Oktoba 2022
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko ifuatayo inaripoti majina ya Wafransisko wote waliotangazwa watakatifu, sifa zao pamoja na miaka ya kuzaliwa na kufa kwao...13 KB (maneno 1,539) - 11:54, 13 Desemba 2024
- Mto Kathita (Meru) unapatikana katika kaunti ya Meru, nchini Kenya. Ni tawimto la mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari...482 bytes (maneno 39) - 11:21, 3 Desemba 2018
- Mto wa Nzoia ni mto wa Kenya unaotoka Mlima Elgon na kuwa na urefu wa kilomita 257 (maili 160). Unatiririkia kusini na kisha magharibi hatimaye unaingia...1 KB (maneno 143) - 08:20, 9 Julai 2021
- Bahari ya Hindi ni bahari ya tatu kwa ukubwa duniani ikiwa imechukua asilimia 20 ya uso wa dunia na kuzungukwa na mabara manne. Upande wa kaskazini imepakana...12 KB (maneno 1,241) - 14:10, 16 Julai 2022
- Kaskazini ni moja kati ya mielekeo minne mikuu ya dira. Mwelekeo wake ni ncha ya kaskazini ya dunia. Kinyume chake ni kusini. Jina "kaskazini" limetokana...896 bytes (maneno 102) - 17:06, 25 Septemba 2020
- Mto Muzizi unapatikana magharibi mwa Uganda (wilaya ya Mubende, wilaya ya Kyegegwa, wilaya ya Kibaale, wilaya ya Kyenjojo, wilaya ya Kabarole na wilaya...842 bytes (maneno 41) - 10:19, 23 Machi 2019
- Kusini ni moja kati ya mielekeo minne mikuu ya dira. Mwelekeo wake ni ncha ya kusini ya dunia. Kinyume chake ni kaskazini. Jina "kusini" laaminiwa limetokana...1 KB (maneno 165) - 16:50, 11 Machi 2013
- Mji mkuu kwa kawaida ni mji wenye makao makuu ya serikali ya nchi fulani. Katika nchi nyingi mji huo ni pia mji mkubwa na muhimu zaidi kushinda miji mingine...6 KB (maneno 782) - 03:52, 6 Februari 2022
- Kalenda ya Kiarmenia ni aina ya kalenda iliyoanzishwa nchini Armenia na kutumiwa na watu Waarmenia au wenye asili ya Armenia. Hesabu yake ya miaka ilianza...528 bytes (maneno 75) - 05:46, 26 Mei 2014
- Mto Luhombero ni mto wa Tanzania, tawimto wa mto Kilombero, unaotiririka hadi kuungana na mto Luwegu kuunda mto Rufiji ambao unaishia katika Bahari Hindi...447 bytes (maneno 36) - 15:31, 1 Mei 2018
- Mto Mgeta ni mto wa Tanzania mashariki, unaotiririka hadi kuingia mto Ruvu ambao unaishia katika Bahari Hindi. Mito ya Tanzania Orodha ya mito ya mkoa...408 bytes (maneno 29) - 15:32, 1 Mei 2018
- Roma ya Kale ni ustaarabu uliokua kutoka katika mji Roma, ulioanzishwa katika rasi ya Italia kabla ya karne ya 9 KK. Katika kipindi cha karne kumi na mbili...2 KB (maneno 165) - 13:16, 5 Februari 2022
- Mto Ifume ni mmojawapo kati ya mito ya mkoa wa Katavi, Tanzania (upande wa magharibi). Unatiririka hadi ziwa Tanganyika, hivyo maji yake yanaingia katika...548 bytes (maneno 44) - 12:52, 22 Aprili 2018
- Mto Mkomazi ni tawimto la mto Pangani ambao maji yake yanaishia katika bahari ya Hindi (mkoa wa Tanga, kaskazini mashariki mwa nchi Tanzania). Mito ya...458 bytes (maneno 35) - 14:17, 4 Mei 2018
- wingi hali ya vitu kuwa zaidi ya moja akthari Kihispania: plural (es) Kiingereza : plural (en) Kireno: plural (pt) Kitaliano: plurale (pt)