Uwindaji : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Mwindaji maarufu alivyochorwa na [[Diego Velázquez akiwa na silaha n...' |
(Hakuna tofauti)
|
Pitio la 13:24, 15 Januari 2017
Uwindaji (kwa Kiingereza Hunting) ni desturi ya kuua au kukamata wanyama, hasa kwa ajili ya kujipatia chakula, lakini pengine kwa biashara, burudani tu, kama si kwa kukomesha wanyama waharibifu.
Mbali ya uwindaji halali, kuna ujangili unaohatarisha aina mbalimbali za wanyama kiasi cha kuwamaliza kabisa duniani.
Kama mnyama husika ni samaki, kazi hiyo inaitwa uvuvi.
Kabla ya kuanza uzalishaji, kwa karne nyingi binadamu wote walitegemea hasa uchumaji wa matunda na uwindaji.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |