Demokrasia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
{{mergefrom}} |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
{{mergefrom|Demokrasia ni nini?}} |
|||
[[File:Election MG 3455.JPG|thumb|Demokrasia inahusisha upigaji wa kura.]] |
[[File:Election MG 3455.JPG|thumb|Demokrasia inahusisha upigaji wa kura.]] |
||
'''Demokrasia''' (kutoka neno la [[Kigiriki]] δημοκρατία, ''dēmokratía'', maana yake ''utawala wa watu'': δῆμος, dêmos, maana yake "watu" na κράτος, krátos, maana yake utawala) ni aina ya [[serikali]]. |
'''Demokrasia''' (kutoka neno la [[Kigiriki]] δημοκρατία, ''dēmokratía'', maana yake ''utawala wa watu'': δῆμος, dêmos, maana yake "watu" na κράτος, krátos, maana yake utawala) ni aina ya [[serikali]]. |
Pitio la 05:06, 6 Oktoba 2016
Unganisha! Imependekezwa makala hii iunganishwe na Demokrasia ni nini?. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. Chagua moja kati ya makala ili ibaki (kwa kawaida ile yenye jina sahihi zaidi), ingiza habari kutoka nyingine, ondoa kasoro, hifadhi. Kisha futa makala nyingine. |
Demokrasia (kutoka neno la Kigiriki δημοκρατία, dēmokratía, maana yake utawala wa watu: δῆμος, dêmos, maana yake "watu" na κράτος, krátos, maana yake utawala) ni aina ya serikali.
Neno hilo lilitumika kuanzia karne ya 5 KK kuelezea mtindo wa utawala uliotumika katika Athene na miji mingine kadhaa ya Ugiriki, kinyume cha ἀριστοκρατία, aristokratía, "utawala wa masharifu".
Kwenye demokrasia watu fulani wa kwenye jumuia wanamchagua kiongozi wao.
Kuna njia nyingi za kufanya hivi, lakini mchakato kamili kwa kawaida huitwa kushikilia uchaguzi.
Vyama vya siasa huhusika na masuala ya siasa. Yaonekana kwamba yaweza kuwa rahisi kuwa na chama cha kisiasa. Chama kitakachoshinda uchaguzi kitamchagua kiongozi kinayemtaka.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |