Utawala : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:

Utawala umejitokeza kwa namna nyingi katika ngazi mbalimbali katika [[historia]] ya [[dunia]].
Utawala umejitokeza kwa namna nyingi katika ngazi mbalimbali katika [[historia]] ya [[dunia]].

Kwa mfano, utawala unaweza kuwa wa kisiasa juu ya nchi au [[kabila]] katika [[jamii]] husika.

Wengi wanakubali kwamba utawala ni hasa sifa ya [[Mungu]] katika [[maongozi ya Mungu|maongozi]] yake ya [[ulimwengu]] [[Uumbaji|aliouumba]].
Wengi wanakubali kwamba utawala ni hasa sifa ya [[Mungu]] katika [[maongozi ya Mungu|maongozi]] yake ya [[ulimwengu]] [[Uumbaji|aliouumba]].
Mstari 10: Mstari 12:
[[Jamii:Sheria]]
[[Jamii:Sheria]]
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Dini]]
utawala hunaweza kuwa :
wa kisiasa au wa kabila katikia jamii husika.

utawala ni [[uhongozi]] wa kisiasa na jamii kwa hujumla.

Pitio la 14:32, 29 Mei 2016

Utawala ni mamlaka na haki ya kuongoza. Ni jambo lisiloepukika katika maisha ya pamoja ya binadamu.

Utawala umejitokeza kwa namna nyingi katika ngazi mbalimbali katika historia ya dunia.

Kwa mfano, utawala unaweza kuwa wa kisiasa juu ya nchi au kabila katika jamii husika.

Wengi wanakubali kwamba utawala ni hasa sifa ya Mungu katika maongozi yake ya ulimwengu aliouumba.