Majengo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 7: | Mstari 7: | ||
*[[Mombasa]] |
*[[Mombasa]] |
||
*[[Majengo (Mbeya mjini)|Mbeya]] |
*[[Majengo (Mbeya mjini)|Mbeya]] |
||
* [[Majengo (Monduli)|Monduli]] |
|||
*[[Majengo (Mtwara Mjini)|Mtwara]], |
*[[Majengo (Mtwara Mjini)|Mtwara]], |
||
*[[Majengo (Muheza)|Muheza]] |
*[[Majengo (Muheza)|Muheza]] |
Pitio la 11:04, 21 Mei 2016
Majengo ni jina la mitaa mbalimbali katika miji ya Afrika ya Mashariki.
Mifano ni wilaya zifuatazo
- Dodoma
- Kahama
- Kigoma,
- Mombasa
- Mbeya
- Monduli
- Mtwara,
- Muheza
- Nairobi
- Singida
- Songea
- Sumbawanga mjini
- Tanga
- Tunduru
ambako "Majengo" imekuwa hata jina la kata.
Kihistoria ilikuwa jina la makazi kwa wafanyakazi Waafrika katika miji ya kikoloni ambako sehemu ya "Uzunguni" ilitengwa kwa Waingereza na Wazungu wengine na Wahindi walipewa nafasi ya maduka katika sehemu zilizoitwa mara nyingi "Uhindini".