Brahmagupta : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumbnail|Brahmagupta '''Brahmagupta''' (Kisanskrit: ब्रह्मगुप्त)) (597–668 BK) alikuwa mtaalamu [[Mhindi]...'
 
d (GR) File renamed: File:Brahmagupta.jpgFile:Hindu astronomer, 19th-century illustration.jpg File renaming criterion #3: To correct obvious errors in file names, including misspelled [[c::en:Noun#P...
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Brahmagupta.jpg|thumbnail|Brahmagupta]]
[[Picha:Hindu astronomer, 19th-century illustration.jpg|thumbnail|Brahmagupta]]
'''Brahmagupta''' ([[Kisanskrit]]: ब्रह्मगुप्त)) (597–668 BK) alikuwa mtaalamu [[Mhindi]] wa [[hisabati]] na [[astronomia]] anayekumbukwa kwa maandiko yake kuhusu fni hizi mbili.
'''Brahmagupta''' ([[Kisanskrit]]: ब्रह्मगुप्त)) (597–668 BK) alikuwa mtaalamu [[Mhindi]] wa [[hisabati]] na [[astronomia]] anayekumbukwa kwa maandiko yake kuhusu fni hizi mbili.
Alikuwa msimamzi wa [[kituo cha astronomia]] mjini [[Ujjain]] ([[Madhya Pradesh]]).
Alikuwa msimamzi wa [[kituo cha astronomia]] mjini [[Ujjain]] ([[Madhya Pradesh]]).

Pitio la 15:34, 26 Januari 2016

Brahmagupta

Brahmagupta (Kisanskrit: ब्रह्मगुप्त)) (597–668 BK) alikuwa mtaalamu Mhindi wa hisabati na astronomia anayekumbukwa kwa maandiko yake kuhusu fni hizi mbili. Alikuwa msimamzi wa kituo cha astronomia mjini Ujjain (Madhya Pradesh).

Brahmagupta alikuwa mwanahisabati wa kwanza anayejulikana kutunga sheria za kupiga hesabu kwa kutumia sifuri. Alitunga pia sheria za hesabu kwa namba hasi.

Katika fani ya astronomia aliping mafundisho ya siku zake kuwa dunia ni tambarare akasisitiza ni tufe. Pia alipinga mafundisho kuwa mwezi ni mbali kuliko jua akaonyesha kuwa sharti mwezi uko karibu zaidi.