Maabara : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 21: | Mstari 21: | ||
==Sifa za maabara== |
==Sifa za maabara== |
||
*1. Iwe na madirisha makubwa. |
*1. Iwe na [[dirisha|madirisha]] makubwa. |
||
*2. Iwe na milango miwili inayofunguka kwa nje. |
*2. Iwe na [[mlango|milango]] miwili inayofunguka kwa nje. |
||
*3. Iwe na mfumo mzuri wa umeme. |
*3. Iwe na mfumo mzuri wa [[umeme]]. |
||
*4. Iwe na vifaa vya kutosha. |
*4. Iwe na vifaa vya kutosha. |
||
Pitio la 14:00, 19 Septemba 2015
Maabara ni jengo au chumba maalumu kinachotumika kwa ajili ya majaribio ya kisayansi.
Kuna aina mbalimbali za maabara, mfano: maabara za biolojia, maabara za kemia, maabara za fizikia n.k.
Vilevile kuna maabara zinazotumika katika hospitali na katika majaribio mengine ya kisayansi.
Maabara ya biolojia
Ni jengo au chumba maalumu kwa ajili ya kufanyia majaribio ya kibiolojia yahusuyo viumbe hai.
Sheria za maabara
- 1. Usiingie ndani ya maabara mpaka uruhusiwe.
- 2. Usikimbie ndani ya maabara.
- 3. Usile kitu chochote ndani ya maabara.
- 4. Usitumie kifaa kilichoharibika.
- 5. Ripoti tatizo lolote litakalojitokeza.
- 6. Usifanye kitu chochote bila ruhusa
- 7. Osha mikono baada ya kumaliza kufanya majaribio au utafiti
Sifa za maabara
- 1. Iwe na madirisha makubwa.
- 2. Iwe na milango miwili inayofunguka kwa nje.
- 3. Iwe na mfumo mzuri wa umeme.
- 4. Iwe na vifaa vya kutosha.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maabara kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |