Majadiliano:Maabara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

MAABARA yoyote inatakiwa kutunzwa katika hali ya usalama-yaani namaanisha kwamba itunzwe mahali tulivu kwa mfano -sehemu yenye majengo ya starehe shughuli za kimaabara hazitaweza kufanyika kwa usahihi.Hivyo tunatakiwa kuweka usalama mahali penye maabara.