Mamalia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 151 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q7377 (translate me) |
|||
Mstari 40: | Mstari 40: | ||
[[Jamii:Mamalia|*]] |
[[Jamii:Mamalia|*]] |
||
{{Link FA|ca}} |
|||
{{Link FA|de}} |
|||
{{Link FA|hr}} |
|||
{{Link FA|nl}} |
|||
{{Link FA|th}} |
Pitio la 21:35, 22 Aprili 2015
Mammalia | ||||||
---|---|---|---|---|---|---|
Kangaruu ni mamalia wa Australia
| ||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||
| ||||||
Ngazi za chini | ||||||
|
Mamalia ni wanyama ambao wanawanyonyesha watoto maziwa kwa kutumia viwele vyao. Wana damu moto na kupumua kwa mapafu.
Kuna takriban spishi 5,400 za mamalia. Spishi 5 kati hizi wanatega mayai lakini wote wengine wanazaa watoto hai. Spishi ndogo ni aina ya popo mwenye urefu wa sentimita 4 pekee hadi nyangumi buluu mwenye urefu wa mita 33.
Uainishaji
Mamalia hugawiwa kwa nusungeli mbili ambazo ni
- Prototheria ni mamalia wanaotega mayai au kubeba watoto wao baada ya kuzaa ndani ya mfuko wa mwilini kwa muda
- Eutheria ni mamalia wa kawaida na spishi nyingi zimo humo.
Picha
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mamalia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mamalia kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |