Mwaridi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q34687 (translate me)
dNo edit summary
Mstari 42: Mstari 42:
File:Rosa damascena5.jpg|Waridi pinki
File:Rosa damascena5.jpg|Waridi pinki
File:A rose 05be wp.jpg|Waridi njano
File:A rose 05be wp.jpg|Waridi njano
File:Rosa hugonis.JPG|Waridi njano
File:Rosa hugonis.JPG|Mawaridi njano
File:Rosa damascena2.jpg|Waridi jeupe
File:Rosa damascena2.jpg|Mawaridi meupe
File:Rosa pisocarpa 1.jpg|Majani
File:Rosa pisocarpa 1.jpg|Majani
File:Rose Prickles.jpg|Miiba
File:Rose Prickles.jpg|Miiba

Pitio la 22:37, 29 Mei 2013

Mwaridi
(Rosa spp.)
Mwaridi
Mwaridi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Rosales (Mimea kama mwaridi)
Familia: Rosaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mwaridi)
Jenasi: Rosa
Spishi: R. x damascena Mill.

na angalia katiba

Mwaridi ni mti, kichaka au mtambaa wenye miiba na maua yanukiayo vizuri. Kwa asili jina hili limetumika kwa Rosa x damascena, lakini sikuhizi hutumika kwa spishi zote za jenasi Rosa. Jenasi hii ni jenasi-mfano ya familia Rosaceae.

Spishi zilizotapakaa

Picha

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwaridi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.