Yohane IV : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: sk:Johannes IV.
Mstari 14: Mstari 14:
[[it:Giovanni IV d'Etiopia]]
[[it:Giovanni IV d'Etiopia]]
[[pl:Jan IV Kassa]]
[[pl:Jan IV Kassa]]
[[sk:Johannes IV.]]

Pitio la 17:38, 9 Novemba 2007

Yohane IV

Yohannes IV (* 1831 kwa jina la Dejazmach Kassay; † 10 Machi 1889 Metemma, Sudan) alikuwa Ras wa Tigray na Kaisari wa Ethiopia kati ya 18721889. Alimfuata Tewodros II akifaulu kutawala juu ya majimbo yote ya Ethiopia.

1876 aliweza kuzuia mashambulio ya Misri dhidi ya Ethiopia.
Aliuawa katika mapigano ya Metemna dhidi ya jeshi la Al-Mahdi tar. 10 Machi 1889. Kichwa chake kilikatwa na kuonyeshwa baadaye Omdurman.