Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Yohane IV

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Samahani, Kipala, lakini kulikuwa na makala kuhusu Yohannes IV wa Ethiopia ila haikuwa na habari zaidi kuliko ya kwako. Naomba uangalie Watawala wa Uhabeshi kwa jinsi nilivyoandika majina ya akina Negus. Asante. --Oliver Stegen 20:36, 20 Septemba 2006 (UTC)[jibu]

Uliweka kiungo - asante. Kuhusu tahijia ya majina tuna eneo pana sana. Sijui... Mimi ningependelea kufuata tahijia ya Biblia ya Kiswahili (ila tu: Union au Kisasa??) kama ni jina la Kibiblia. Isipokuwa kwa majina ya Kiingereza n.k. Sina uhakika kama itafaa. Tuone. Sawa? --Kipala 20:49, 20 Septemba 2006 (UTC)[jibu]
Hamna shida. Nilianza kutumia jina lilivyotumika kwenye wikipedia nyingine kwa vile ilionekana kama walinukuu herufi za Kiamhara kwa mfumo wa Kilatini (transliteration?). Ndiyo sababu nilianza na maorodha (angalia pia Wafalme Wakuu wa Japani). Angalao tungeweza kubofya kiungo kwenye orodha. Kwa leo nasema 'Usiku mwema'. --Oliver Stegen 21:00, 20 Septemba 2006 (UTC)[jibu]

Tarehe ya kifo chake[hariri chanzo]

Makala ilitaja tarehe mbili: 9 na 12 Machi. Nimezirekebisha kuwa sawa, yaani tarehe 10 kwa vile ndiyo tarehe inayotajwa katika wikipedia ya Kiingereza. Kuna aliye na uhakika? --Oliver Stegen 16:34, 13 Machi 2007 (UTC)[jibu]

Nimekuta kwenye makala ya Wilhelm Baum kuhusu Yohane IV kwa Bautz yafuatayo: "Johannes besiegte die Muslime in der Schlacht bei Matamma; er wurde nach der Eroberung von Qallabat jedoch am 9.3. 1889 von einer Kugel getroffen und starb als letzter Herrscher der Welt auf dem Schlachtfeld. Seine Leiche wurde enthauptet und der Kopf nach Omdurman im Sudan geschickt. Sein Grab fand er im Kloster Daga Stefanos im Tanasee, wo bereits frühere Kaiser begraben wurde"
Yaani amepigwa kichwani na risaso katika mapigano ya Qallabat tar. 9.3.1889 na Wamaahdi Wasudani kichwa chake kikapelekwa Omdurman na mwili ukazikwa kwenye monasteri ya Daga Stefanos.
Si rahisi kusema lakini kwa kuhisi ningemwamini Baum aliye mtaalamu wa historia kwenye chuo kikuu cha Graz kushinda wikipedia ianyoandikwa na watu kama sisi wanaonakili mara nyingui jambo mtandaoni tu bila kuangalia vitabu vyenyewe. --Kipala 18:53, 13 Machi 2007 (UTC)[jibu]
linganisha majadiliano kwenye http://de.wikipedia.org/wiki/Diskussion:Yohannes_IV.