Hidrokaboni : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[File:Methane-3D-balls.png|thumb|300px|Molekuliy a methani ambayo ni hidrokabni aina ya alkani]] |
|||
'''Hidrokaboni''' ni aina mbalimbali za [[kampaundi]] za kikemia zinazojengwa kwa atomi za [[hidrojeni]] na [[kaboni]] pekee. |
'''Hidrokaboni''' ni aina mbalimbali za [[kampaundi]] za kikemia zinazojengwa kwa atomi za [[hidrojeni]] na [[kaboni]] pekee. |
||
Pitio la 09:28, 13 Desemba 2012
Hidrokaboni ni aina mbalimbali za kampaundi za kikemia zinazojengwa kwa atomi za hidrojeni na kaboni pekee.
Kiasili zinapatika hasa katika mafuta ya petroliamu iliyotokea kutokana na mchakato wa kuoza kwa mimea na mata ogania yenye kaboni na hidrojeni nyingi. Hidrokaboni haziwezi kuingia katika mmenyuko wa kikemia na maji.
Hidrokaboni ni chanzo muhimu cha nishati kwa binadamu duniani; petroli na diseli ni mchanganyiko wa aina za hidrokaboni.
Vikundi vya hidrokaboni
Hidrokaboni hupangwa katika vikundi 5.
Alkani
Alkani ni hidrokaboni za kimsingi. Fomula yao ni CnH2n+2.
Jina la alkani | Fomula |
---|---|
Methani | CH4 |
Ethani | C2H6 |
Propani | C3H8 |
Butani | C4H10 |
Pentani | C5H12 |
Hexani | C6H14 |
Heptani | C7H16 |
Oktani | C8H18 |
Nonani | C9H20 |
Decane | C10H22 |
Alkeni
Alkeni hufanana na alkani. Lakini zina muungo jozi kati ya kaboni na kaboni. Fomula yao ni CnH2n.
Jina la alkeni | Fomula |
---|---|
Etheni | C2H4 |
Propeni | C3H6 |
Buteni | C4H8 |
Penteni | C5H10 |
Hexeni | C6H12 |
Hepteni | C7H14 |
Okteni | C8H16 |
Noneni | C9H18 |
Deseni | C10H20 |
Alkini
Alkynes have a carbon to carbon triple bond. CnH2n-2 is their general formula.
Alkyne Name | Formula |
---|---|
Ethyne | C2H2 |
Propyne | C3H4 |
Butyne | C4H6 |
Pentyne | C5H8 |
Hexyne | C6H10 |
Heptyne | C7H12 |
Octyne | C8H14 |
Nonyne | C9H16 |
Decyne | C10H18 |
Sikloalkani
Sikloalkani ni isomeri za alkeni. Fomula yao ni pia (CnH2n) lakini hazina muungo jozi kati ya kaboni na kaboni.
Jina la Sikloalkani | Fomula |
---|---|
Siklopropani | C3H6 |
Siklobutani | C4H8 |
Siklopentani | C5H10 |
Siklohexani | C6H12 |
Sikloheptani | C7H14 |
Sikloctani | C8H16 |
Siklononani | C9H18 |
Siklodekani | C10H20 |
Alkadini
Alkadini zina muungo jozi mbili kati ya kaboni na kaboni. Fomula ni CnH2n-2. Hizi ni isomeri za Alkini.
Hidrokaboni aromatiki
Hidrokaboni aromatiki ni molekuli ogania yenye umbo la mviringo tambarare. Fomula yao ni CnH2n-6 na "n" ni sawa na kubwa kubwa kuliko 6.