Sydney : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: so:Sydney
Copyedit.
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Sydney opera house and skyline.jpg|thumb|right|300px|[[Jumba la Sanaa la Sydney|Jumba la sanaa la mjini Sydney]] na [[Bandari ya Jackson]]]].'''Sydney''' ni mji wa pwani ya mashariki katika nchi ya [[Australia]]. Sydney ni mji mkubwa wa [[New South Wales]]. Takribani watu milioni 4 wanaishi katika mji wa Sydney na ndio mji mkubwa kabisa nchini [[Australia]]. Mji uligunduliwa mwaka 1788 na Arthur Phillip, aliyekuwa ofisa wa Navy Royal ya [[Uingereza]], na mji ukawa kama sehemu ya wafungwa wa [[Uingereza|Kiingereza]] na [[Ireland|Kiayalendi]]. The Rocks, ni sehemu mojawapo katika mji wa Sydney, ndio ilikuwa sehemu ya kwanza kuwa mji wenye mvuto katika [[Australia]]. Sasa imekuwa sehemu yenye mandhari mazuri ya bandari na ni sehemu pakujipatia kula yaani kuna mgahawa mkubwa.
[[Picha:Sydney opera house and skyline.jpg|thumb|right|300px|[[Jumba la Sanaa la Sydney|Jumba la sanaa la mjini Sydney]] na [[Bandari ya Jackson]]]]
'''Sydney''' ni mji wa pwani ya mashariki katika nchi ya [[Australia]]. Sydney ni mji mkubwa wa [[New South Wales]]. Takribani watu milioni 4 wanaishi katika mji wa Sydney na ndio mji mkubwa kabisa nchini [[Australia]]. Mji uligunduliwa mwaka 1788 na Arthur Phillip, aliyekuwa ofisa wa Navy Royal ya [[Uingereza]], na mji ukawa kama sehemu ya wafungwa wa [[Uingereza|Kiingereza]] na [[Ireland|Kiayalendi]]. The Rocks, ni sehemu mojawapo katika mji wa Sydney, ndio ilikuwa sehemu ya kwanza kuwa mji wenye mvuto katika [[Australia]]. Sasa imekuwa sehemu yenye mandhari mazuri ya bandari na ni sehemu pakujipatia kula yaani kuna mgahawa mkubwa.

== Viungo vya nje ==
==Viungo vya nje==
{{commons|Category:Sydney|Sydney Australia}}
{{Commons category|Sydney|Sydney Australia}}
{{Commons|Sydney}}
{{Commons|Sydney}}


* [http://www.livingharbour.net/aboriginal/introduction.htm Australian Museum: Aboriginal people of coastal Sydney]
* [http://www.livingharbour.net/aboriginal/introduction.htm Australian Museum: Aboriginal people of coastal Sydney]
* [http://www.usyd.edu.au/su/macleay/81106/huntbplaces.html Historic photographs of Sydney buildings]
* [http://www.usyd.edu.au/su/macleay/81106/huntbplaces.html Historic photographs of Sydney buildings]




{{Mbegu-jio-Australia}}
{{Mbegu-jio-Australia}}

Pitio la 20:59, 12 Novemba 2011

Jumba la sanaa la mjini Sydney na Bandari ya Jackson

Sydney ni mji wa pwani ya mashariki katika nchi ya Australia. Sydney ni mji mkubwa wa New South Wales. Takribani watu milioni 4 wanaishi katika mji wa Sydney na ndio mji mkubwa kabisa nchini Australia. Mji uligunduliwa mwaka 1788 na Arthur Phillip, aliyekuwa ofisa wa Navy Royal ya Uingereza, na mji ukawa kama sehemu ya wafungwa wa Kiingereza na Kiayalendi. The Rocks, ni sehemu mojawapo katika mji wa Sydney, ndio ilikuwa sehemu ya kwanza kuwa mji wenye mvuto katika Australia. Sasa imekuwa sehemu yenye mandhari mazuri ya bandari na ni sehemu pakujipatia kula yaani kuna mgahawa mkubwa.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu maeneo ya Australia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sydney kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.