Ponsyo Pilato : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ponsyo Pilato''' (kwa Kilatini ''Pontius Pilatus''; kwa Kigiriki Πόντιος Πιλᾶτος; kwa Kiebrania פונטיוס פילאטוס; aliku...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Eccehomo1.jpg|thumb|right|300px|''[[Ecce Homo]]'', mchoro wa [[Antonio Ciseri]] unaoonyesha Ponsyo Pilato alivyomtambulisha Yesu kwa watu wa [[Yerusalemu]] baada ya kumpiga mijeledi]]
'''Ponsyo Pilato''' (kwa [[Kilatini]] ''Pontius Pilatus''; kwa [[Kigiriki]] Πόντιος Πιλᾶτος; kwa [[Kiebrania]] פונטיוס פילאטוס; alikuwa [[liwali]] wa
'''Ponsyo Pilato''' (kwa [[Kilatini]] ''Pontius Pilatus''; kwa [[Kigiriki]] Πόντιος Πιλᾶτος; kwa [[Kiebrania]] פונטיוס פילאטוס; alikuwa [[liwali]] wa
[[Palestina]] katika miaka [[26]]-[[36]].
[[Palestina]] katika miaka [[26]]-[[36]].


Anajulikana kutoka vyanzo mbalimbali, lakini hasa kwa sababu ya [[Injili]] kumtaja kama [[hakimu]] aliyempeleka [[Yesu]] msalabani.
Anajulikana kutoka vyanzo mbalimbali, lakini hasa kwa sababu ya [[Injili]] kumtaja kama [[hakimu]] aliyempeleka [[Yesu]] kuuawa msalabani.

[[Kanisa la Ethiopia]] linafuata hadithi ya kwamba aliongoka, hivyo linamheshimu kama [[mtakatifu]].

Kadiri ya mapokeo mengine, alijiua.

[[Jamii:Watu wa Biblia]]


[[af:Pontius Pilatus]]
[[af:Pontius Pilatus]]

Pitio la 07:46, 27 Februari 2011

Ecce Homo, mchoro wa Antonio Ciseri unaoonyesha Ponsyo Pilato alivyomtambulisha Yesu kwa watu wa Yerusalemu baada ya kumpiga mijeledi

Ponsyo Pilato (kwa Kilatini Pontius Pilatus; kwa Kigiriki Πόντιος Πιλᾶτος; kwa Kiebrania פונטיוס פילאטוס; alikuwa liwali wa Palestina katika miaka 26-36.

Anajulikana kutoka vyanzo mbalimbali, lakini hasa kwa sababu ya Injili kumtaja kama hakimu aliyempeleka Yesu kuuawa msalabani.

Kanisa la Ethiopia linafuata hadithi ya kwamba aliongoka, hivyo linamheshimu kama mtakatifu.

Kadiri ya mapokeo mengine, alijiua.