Rasi ya Malay : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: et:Malaka poolsaar
Mstari 30: Mstari 30:
[[en:Malay Peninsula]]
[[en:Malay Peninsula]]
[[es:Península de Malaca]]
[[es:Península de Malaca]]
[[et:Malaka poolsaar]]
[[fa:شبه جزیره مالایا]]
[[fa:شبه جزیره مالایا]]
[[fi:Malakan niemimaa]]
[[fi:Malakan niemimaa]]

Pitio la 17:17, 19 Juni 2007

Rasi ya Malay
Rasi ya Malay

Rasi ya Malay (Kimalay: Semenanjung Tanah Melayu) ni rasi kubwa katika Asia ya kusini-magharibi.

Ina pande tatu:

  • Kaskazini-magharibi yake ni eneo la kusini kabia ya Myanmar (Burma)
  • Katikati yake ni eneo la Uthai
  • Kusini ni eneo la Malaysia ya magharibi

Kusini kabisa iko Singapor kwenye kisiwa karibu na ncha ya rasi


Jiografia

Rasi ya Malai iko kati ya Bahari Hindi na Pasifiki. Upande wa Pasifiki ni Ghuba ya Uthai na Bahari ya Uchina. Mlango wa Malakka unatenganisha rasi na kisiwa cha Sumatra

Rasi inaanza kwenye latitudo ya +13 na kuelekea kusini hadi latitudo ya +1. Urefu wake ni 1,555 km. Sehemu nyembamba iko katika sehemu ya Kithai yenye 60 km pekee.

Sura ya nchi ina tabia mbalimbali: milima, tambarare, maziwa, pwani na misitu minene.

Milima ya juu ni Gunung Tahan (2,187 m) hohe Gunung Korbu (2,184 m) nchini Malaysia. Katika tambarare za Uthai iko Khao Luang (1,786 m). Sehemu ya Myanmar kuna Recho Taung (1,330 m).