Kinyamadege : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Uainishaji | rangi = #D3D3A4 | jina = Kinyamandege Domobata | picha = Platypus BrokenRiver QLD Australia2.png | upana_wa_picha = 250px | maelezo ya picha = Kin...'
 
d Kinyamandege umesogezwa hapa Domobata
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:10, 23 Januari 2011

Kinyamandege Domobata

Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Monotremata
Familia: Ornithorhynchidae (Wanyama walio na mnasaba na kinyamandege)
Jenasi: Ornithorhynchus
Spishi: O. anatinus

Kinyamandege Domobata (pia huitwa tu: Domobata) ni spishi ya Australia yenye mdomo kama bata, mkia kama panyabuku-maji na miguu kama fisi-maji.