Kikuyu (lugha) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 61: Mstari 61:
[[qu:Kikuyu simi]]
[[qu:Kikuyu simi]]
[[ru:Кикуйю (язык)]]
[[ru:Кикуйю (язык)]]
[[rw:Igikuyu]]
[[sk:Kikujčina]]
[[sk:Kikujčina]]
[[sv:Kikuyu (språk)]]
[[sv:Kikuyu (språk)]]

Pitio la 21:29, 5 Januari 2011

Gikuyu, Kikikuyu
Gĩkũyũ
Inazungumzwa nchini Kenya
Jumla ya wazungumzaji takriban 5,500,000 (1994 I. Larsen BTL)[1].
Familia ya lugha Lugha za Niger-Kongo
Misimbo ya lugha
ISO 639-1 ki
ISO 639-2 kik
ISO 639-3 kik

Kikikuyu (jina la wenyewe: Gĩkũyũ) ni lugha ya Kibantu inayojadiliwa na Wagikuyu ambao watu milioni 5.5 nchini Kenya ni lugha yenye wasemaji wengi katika nchi hii. Kama lugha ya Kibantu ni sehemu ya lugha za Niger-Kongo.

Wasemaji wanaishi kiasili kwenye nyanda za juu za Kenya ya Kati kati ya Nyeri na Nairobi. Siku hizi wanapatikana kote Kenya. Lugha ina vikundi vinne vya lahaja ambazo ni za Kirinyaga, Muran'ga, Nyeri na Kiambu.

Gikuyu inafanana kwa kiasi kikubwa na Kiembu, Kimeru na Kikamba.

Fasihi na media

Tangu zamani za koloni Gikuyu imewahi kuandikwa. Vitabu vya kwanza kwa Gikuyu vilikuwa Biblia na vitabu vya ibada. Tangu uhuru waandishi mbalimbali walianza kuandika. Anayejulikana zaidi ni Ngugi wa Thiong'o na kati ya riwaya zake iko "Mũrogi wa Kagogo". Waandishi wengine ni Mwangi wa Mutahi na Gatua wa Mbugwa.

Mjini Nairobi kuna pia redio ya Gikuyu na pia vipindi vya TV.

Viungo vya Nje

  1. http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=kik Accessed 2007/07/09
Wikipedia
Wikipedia
Kikuyu (lugha) ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru