John Fisher : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: gl:Xoán Fisher |
d clean up using AWB |
||
Mstari 6: | Mstari 6: | ||
Mwaka 1935 alitangazwa na [[Papa Pius XI]] kuwa [[mtakatifu]] [[mfiadini]]. Sikukuu yake ni [[22 Juni]] katika Kanisa Katoliki, na [[6 Julai]] katika Kanisa [[Anglikana]]. |
Mwaka 1935 alitangazwa na [[Papa Pius XI]] kuwa [[mtakatifu]] [[mfiadini]]. Sikukuu yake ni [[22 Juni]] katika Kanisa Katoliki, na [[6 Julai]] katika Kanisa [[Anglikana]]. |
||
⚫ | |||
{{DEFAULTSORT:Fisher, John}} |
{{DEFAULTSORT:Fisher, John}} |
||
[[ |
[[Jamii:Waliozaliwa 1469]] |
||
[[ |
[[Jamii:Waliofariki 1535]] |
||
[[ |
[[Jamii:Watakatifu wa Uingereza]] |
||
[[ |
[[Jamii:Maaskofu Wakatoliki]] |
||
[[Jamii:Makardinali]] |
[[Jamii:Makardinali]] |
||
[[Jamii:Wafiadini Wakristo]] |
[[Jamii:Wafiadini Wakristo]] |
||
⚫ | |||
[[ca:John Fisher]] |
[[ca:John Fisher]] |
Pitio la 14:09, 25 Agosti 2010
John Fisher au John wa Rochester (1469 – 22 Juni, 1535) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kule Uingereza.
Pamoja na Thomas More, alimkataa mfalme Henry VIII aliyejitenga na Kanisa la Roma. Kwa hiyo, John Fisher alifungwa na baada ya kushtakiwa mahakamani aliuawa. Kabla ya hapo Papa Paulo III alimteua kuwa kardinali.
Mwaka 1935 alitangazwa na Papa Pius XI kuwa mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni 22 Juni katika Kanisa Katoliki, na 6 Julai katika Kanisa Anglikana.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |