Wikipedia:Mwongozo (Muundo) : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
No edit summary |

Mstari 76: | Mstari 76: | ||

'''Jaribu ulichojifunza katika [[/sanduku la mchanga/]]'''

'''Jaribu ulichojifunza katika [[/sanduku la mchanga/]]'''

'''Endelea |

'''Endelea mwongozo na [[Wikipedia:Mwongozo (Viungo vya Wikipedia)|Viungo vya Wikipedia]]''' →

[[Jamii: |
[[Jamii:Mwongozo wa Wikipedia|*3]] |

[[als:Wikipedia:Tutorial/2]] |
[[als:Wikipedia:Tutorial/2]] |
Pitio la 20:21, 5 Desemba 2009
Utangulizi | Kuhariri | Kuanzisha Makala | Muundo | Viungo vya Wikipedia | Kutaja vyanzo | Kurasa za majadiliano | Kumbuka | Kujisajili |
Kupanga umbo la maandishi ni tofauti kidogo na kuandika kwenye kichakata matini (programu ya kuandika) kama vile Word, Writer na kadhalika.
Unaandika katika dirisha la uhariri. Humo huoni umbo la maandishi jinsi inavyotokea baadaye. Maana hapa hakuna kile kinachoitwa "WYSIWYG" ("What You See Is What You Get unachoona ni sawa kile kinachotokea").
Badala yake Wikipedia hutumia misimbo (codes) inayosababisha kutokea kwa maandishi manene, makubwa, madogo, ya rangi, vichwa au viungo na kadhalika. Hii ni lugha ya kompyuta ya pekee inayoitwa wikitext ikifanana na HTML lakini imerahisishwa.
Herufi koza na italiki
Misimbo inayotumika hasa kwenye wikipedia ni Herufi koza' na italiki. Yote mawili hupatikana kwa kuingiza neno / maneno kwa alama za apostrofi ('').
Unaandika | Unapata |
''italiki'' | italiki |
'''koza''' |
koza |
'''''koza italiki''''' |
koza italiki |
Kwa kawaida si lazima kutaipu apostrofi moja-moja. Unaweza kuangaza neno au maneno husika kwa puku yako na kutumia menyu (nembo dogo) juu ya dirisha la uhariri. "B" inakupa herufi koza, "I" inaleta herufi italiki.
Jina la makala ya wikipedia inatakiwa kuonekana kwa herufi koza pale inapoonekana mara ya kwanza ndani ya makala, mara nyingi kama neno / maneno ya kwanza.
Mfano: Makala ya Julius Nyerere inaanza:
"Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa rais wa kwanza wa Tanzania. Alizaliwa Butiama, mkoani Mara pembezoni mwa Ziwa Nyanza tarehe 13 Aprili, 1922..."
Herufi italiki hutumiwa kwa ajili ya majina ya vitabu, filamu au albamu za muziki. Pia kwa kuonyesha matamshi ya neno la kigeni.
Vichwa na vichwa vidogo
Vichwa na vichwa vidogo vya ndani ni njia ya haraka kuboresha mpangilio wa makala. Kama maandishi ni marefu kiasi ni afadhali kuingiza vichwa hivi.
- Tahadhari: Usiweke kichwa juu ya makala yako kwa sababu wikipedia inafanya hii pia!
Vichwa huanzishwa kwa njia hiyo (hakuna alama kwa kazi hii kwenye menyu)
Unaandika | Unapata |
== Kichwa == |
Kichwa |
=== Kichwa kidogo 1 === |
Kichwa kidogo 1 |
==== Kichwa kidogo 2 ==== |
Kichwa kidogo 2 |
Kama vichwa 4 au zaidi vimeshaingizwa katika makala sanduku ya yaliyomo inaanzishwa na programu peke yake. Tazama juu: sanduku hili limejitokeza tu bila kazi ya zioada kwa sababu kuna vichwa vinne kwenye ukurasa!
Jaribu kuandika kichwa kwenye sanduku la mchanga wa ukurasa huu.