Pythagoras : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: kn:ಪೈಥಾಗರಸ್
d roboti Nyongeza: yo:Pythagoras
Mstari 112: Mstari 112:
[[war:Pythagoras]]
[[war:Pythagoras]]
[[yi:פיטאגאראס]]
[[yi:פיטאגאראס]]
[[yo:Pythagoras]]
[[zh:毕达哥拉斯]]
[[zh:毕达哥拉斯]]
[[zh-yue:畢達哥拉斯]]
[[zh-yue:畢達哥拉斯]]

Pitio la 21:46, 28 Novemba 2009

Kichwa cha sanamu ya Pythagorasi
Uhakiki wa Pythagorasi

Pythagoras (Kigiriki Πυθαγόρας) (* mnamo 570 KK; † baada ya mwaka 510 KK katika Italia ya Kusini) alikuwa mtaalamu wa falsafa na hisabati wakati wa ustaarabu wa Ugiriki ya Kale.

Alizaliwa kisiwani Samos karibu na pwani la Asia Ndogo alipokuwa na umri wa miaka 14 alihamia Italia ya kusini iliyokuwa eneo lenya miji mingi ya Wagiriki.


Pythagoras anakumbukwa hasa kwa "uhakiki wa Pythagoras" unaoeleza tabia za pembetatu mraba. Aligundua ya kwamba mraba juu ya hipotenusi (kiegana au upande kinyume cha pembe mraba) ni sawa na jumla ya miraba juu ya pande mbili nyingine.

Pythagorasi alianzisha kundi la kidini la wanahisbati; walitafuta siri za dunia katika namba wakiamini ya kwamba miungu walificha habari za dunia ndani ya namba zinazoonekana kote duniani kwa wataalamu wa hisabati hii takatifu.

Wanafunzi wake walifundisha uhamisho wa roho za watu kutoka mwili mmoja kwenda mwili mwingine; miili hufa lakini roho zadumu. Pythagorasi alidai ya kwamba yeye alikumbuka maisha nne za awali. Alikataa kuua wanyama kwa sababu aliona roho ndani ya wanyama pia hivyo wanafunzi wake hawakula nyama.


Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pythagoras kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.