Ernst Ruska : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
New page: left|80px '''Ernst August Friedrich Ruska''' (25 Desemba, 190627 Mei, 1988) alikuwa fundisanifu wa umeme kutoka nchi ya Ujerumani. Ha...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:24, 22 Januari 2007

Ernst August Friedrich Ruska (25 Desemba, 190627 Mei, 1988) alikuwa fundisanifu wa umeme kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa anajulikana kwa kubuni hadubini ya elektroni. Mwaka wa 1986, pamoja na Gerd Binnig na Heinrich Rohrer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.