Adamu : Tofauti kati ya masahihisho
d roboti Nyongeza: bo, eo, ka, ta |
d roboti Nyongeza: kab:Adam |
||
Mstari 46: | Mstari 46: | ||
[[ja:アダム]] |
[[ja:アダム]] |
||
[[ka:ადამი]] |
[[ka:ადამი]] |
||
[[kab:Adam]] |
|||
[[ku:Adem]] |
[[ku:Adem]] |
||
[[la:Adam]] |
[[la:Adam]] |
Pitio la 18:12, 1 Oktoba 2009
Adamu (kwa Kiebrania: אָדָם maana yake mtu, mtu wa udongo, chaudongo, au wa udongo mwekundu) ni jina analopewa mtu wa kwanza katika Biblia na Kurani.
Kadiri ya kitabu cha Mwanzo, alizaliana na mke wake Eva watu wote waliopo duniani, ambao kwa sababu hiyo wanaitwa binadamu; kwa namna ya pekee waliweza kuzaa wenyewe Kaini, Abeli na Set.
Kanisa Katoliki linamheshimu kama mtakatifu kila tarehe 24 Desemba.
Katika Biblia
Uumbaji wa watu wa kwanza unasimuliwa na Mwanzo mara mbili: katika 1,26-28 na katika 2,7-22.
Masimulizi hayo yanayotofautiana katika vipengele mbalimbali hayadai yachukuliwe kama habari za historia zinazoandikwa siku hizi. Yanatokana na tafakuri ya kina juu ya hali ya binadamu.
Katika Kurani
Humo Adamu anatajwa kwa namna inayofanana na ile ya Biblia. Anahesabiwa kuwa mtume wa kwanza.