Idd el Fitr : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
New page: thumb|350px|[[Msikiti wa Sultan Ahmed mjini Istanbul ikionyesha mapambo ya Ramadan kwa mwandiko unaong'aa "Penda na upendwe"]] '''Idd el Fitr''...
 
mbegu-dini
Mstari 4: Mstari 4:
Idd el Fitr inaanza mara mwezi wa [[hilali]] umeonekana baada ya Ramadan. Waislamu huvaa nguo safi mara nyingi nguo mpya na kutoa zawadi kwa maskini. Msikiti na nyumba mara nyingi zimepambwa. Ni nafasi ya kufurahia kati ya Waislamu.
Idd el Fitr inaanza mara mwezi wa [[hilali]] umeonekana baada ya Ramadan. Waislamu huvaa nguo safi mara nyingi nguo mpya na kutoa zawadi kwa maskini. Msikiti na nyumba mara nyingi zimepambwa. Ni nafasi ya kufurahia kati ya Waislamu.


{{stub}}
{{mbegu-dini}}


[[Category:Uislamu]]
[[Category:Uislamu]]

Pitio la 09:18, 22 Juni 2009

Msikiti wa Sultan Ahmed mjini Istanbul ikionyesha mapambo ya Ramadan kwa mwandiko unaong'aa "Penda na upendwe"

Idd el Fitr (Kiarabu: عيد الفطر ‘idu l-fiṭr; pia: Eid ul-Fitr, Id-Ul-Fitr, Iddul Fitri, Iddi al Fitr) ni sikukuu ya kiislamu inayomaliza mwezi wa Ramadan. Kipindi cha kufunga kinamalizika kwenye sikukuu hiyo. Ni sherehe ya siku tatu.

Idd el Fitr inaanza mara mwezi wa hilali umeonekana baada ya Ramadan. Waislamu huvaa nguo safi mara nyingi nguo mpya na kutoa zawadi kwa maskini. Msikiti na nyumba mara nyingi zimepambwa. Ni nafasi ya kufurahia kati ya Waislamu.

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.