Yosafat wa Polotsk : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
New page: '''Mtakatifu Yosafat wa Polotsk''' (15801623) alikuwa askofu wa Polotsk. Ametambuliwa kuwa mtakatifu kama mfiadini. Sikukuu yake ni 12 Novemba. ==Maisha== Mtakatifu Y...
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Mtakatifu Yosafat wa Polotsk''' ([[1580]] – [[1623]]) alikuwa askofu wa Polotsk. Ametambuliwa kuwa mtakatifu kama mfiadini. Sikukuu yake ni [[12 Novemba]].
'''Mtakatifu Yosafat wa Polotsk''' ([[1580]] – [[1623]]) alikuwa askofu wa [[Polotsk]]. Ametambuliwa kuwa mtakatifu kama mfiadini. Sikukuu yake ni [[12 Novemba]].


==Maisha==
==Maisha==

Pitio la 14:23, 21 Juni 2008

Mtakatifu Yosafat wa Polotsk (15801623) alikuwa askofu wa Polotsk. Ametambuliwa kuwa mtakatifu kama mfiadini. Sikukuu yake ni 12 Novemba.

Maisha

Mtakatifu Yosafat alizaliwa nchini Ukraine mwaka wa 1580 katika familia ya Kiorthodoksi. Baadaye akawa Mkatoliki, na akajiunga na wamonaki wa Mt. Basil. Alipata upadre, akateuliwa kuwa askofu wa Polotsk. Alifanya kazi kufa na kupona ili kudumisha umoja wa kanisa. Alifia dini yake mwaka wa 1623.

Tazama pia

Marejeo

  • "Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1568