Tofauti kati ya marekesbisho "Britania"

Jump to navigation Jump to search
66 bytes added ,  miaka 14 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
Jina la Britania limetokana na [[Dola la Roma|Waroma wa Kale]] waliovamia kisiwa na kufanya sehemu ya kusini kuwa jimbo la dola lao. Jimbo la [[Britania ya Kiroma]] liliunganisha nchi za Uingereza na Welisi za leo.
 
LeoKisiwa kuna Zotechote ni sehemu ya [[Ufalme wa Maungano]] unaoitwa mara nyingi "Uingereza" kutokana na nchi kubwa ndani yake. Lakini ufalme huu ni kubwa kushinda Britania, uko pamoja na [[Ueire ya Kaskazini]], visiwa vya [[Hebridi]], [[Orkney]] na [[Shetland]], halafu [[eneo la ng'ambo la Uingereza|maeneo ya ng'ambo]]. Hizi zote si sehemu ya Britania lakini ziko pamoja katika Ufalme wa Maungano.
 
Visiwa katika mfereji wa Kiingereza na kisiwa cha Isle of Man viko chini ya malkia au mfalme wa Uingereza lakini si sehemu za Ufalme wa Maungano.

Urambazaji