Funguvisiwa ya Britania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Visiwa vya Britania

Funguvisiwa ya Britania ni kundi la visiwa vya Ulaya ya kaskazini-magharibi. Jumla ni visiwa 6,000 vyenye eneo la 315,134 km² lakini ni hasa visiwa viwili vikubwa, vichache vya wastani na vingi vidogo.

Visiwa vikubwa ni hasa:

Visiwa vidogo zaidi ni