Wilaya ya Nkhotakota : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:

[[Picha:MW-Nkhotakota.png|right|269x269px| Mahali pa Wilaya ya Nkhotakota nchini Malawi]]
[[Picha:MW-Nkhotakota.png|right|269x269px| Mahali pa Wilaya ya Nkhotakota nchini Malawi]]
'''Nkhotakota''' ni [[Districts of Malawi|wilaya]] katika [[Kanda ya Kati, Malawi|Kanda ya Kati]] nchini [[Malawi]] . Makao makuu yako [[Nkhotakota]] . Wilaya ina eneo la km² 4,259 na ina wakazi 395,897. <ref name="Census2018">{{Cite web|url=http://www.nsomalawi.mw/images/stories/data_on_line/demography/census_2018/2018%20Malawi%20Population%20and%20Housing%20Census%20Main%20Report.pdf|title=2018 Population and Housing Census Main Report|publisher=Malawi National Statistical Office|accessdate=25 December 2019}}</ref> Neno [[Nkhotakota]] linamaanisha "kona-kona" katika lugha ya [[Kinyanja|Chichewa]] . Iko kando ya [[Ziwa Nyasa]] inayoitwa hapa Ziwa Malawi.
'''Wilaya ya Nkhotakota''' ni [[Districts of Malawi|wilaya]] mojawapo katika [[Kanda ya Kati, Malawi|Kanda ya Kati]] nchini [[Malawi]]. [[Makao makuu]] yako [[Nkhotakota]]. Wilaya ina eneo la [[Kilomita ya mraba|km²]] 4,259 na ina wakazi 395,897. <ref name="Census2018">{{Cite web|url=http://www.nsomalawi.mw/images/stories/data_on_line/demography/census_2018/2018%20Malawi%20Population%20and%20Housing%20Census%20Main%20Report.pdf|title=2018 Population and Housing Census Main Report|publisher=Malawi National Statistical Office|accessdate=25 December 2019}}</ref> [[Neno]] [[Nkhotakota]] linamaanisha "kona-kona" katika [[lugha]] ya [[Kinyanja|Chichewa]]. Iko kando ya [[Ziwa Nyasa]] inayoitwa hapa Ziwa Malawi.


== Vitengo na utawala ==
== Vitengo na utawala ==

Pitio la 14:45, 13 Januari 2022

Mahali pa Wilaya ya Nkhotakota nchini Malawi
Mahali pa Wilaya ya Nkhotakota nchini Malawi

Wilaya ya Nkhotakota ni wilaya mojawapo katika Kanda ya Kati nchini Malawi. Makao makuu yako Nkhotakota. Wilaya ina eneo la km² 4,259 na ina wakazi 395,897. [1] Neno Nkhotakota linamaanisha "kona-kona" katika lugha ya Chichewa. Iko kando ya Ziwa Nyasa inayoitwa hapa Ziwa Malawi.

Vitengo na utawala

Kuna majimbo matano ya Bunge la Kitaifa huko Nkhotakota: [2]

  • Nkhotakota - Kati
  • Nkhotakota - Kaskazini
  • Nkhotakota - Kaskazini Mashariki
  • Nkhotakota - Kusini
  • Nkhotakota - Kusini Mashariki

Marejeo

  1. "2018 Population and Housing Census Main Report". Malawi National Statistical Office. Iliwekwa mnamo 25 December 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Parliament of Malawi - Members of Parliament - Nkhotakota District