Tanzanaiti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Nimeongeza jina la aliye gundua na pia nime andika kwamba ni kito cha Aina gani na ilijulikana wapi.
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Zoïsite (Tanzanite).jpg|thumb|200px|<center>Kito cha Tanzanaiti katika hali asilia]]
[[Image:Zoïsite (Tanzanite).jpg|thumb|200px|<center>Kito cha Tanzanaiti katika hali asilia]]
[[Image:Tanzanite taillée.jpg|thumb|200px|Tanzanaiti baada ya kukatwa na kung'arishwa]]
[[Image:Tanzanite taillée.jpg|thumb|200px|Tanzanaiti baada ya kukatwa na kung'arishwa]]
'''Tanzanaiti''' ni [[kito]] chenye [[rangi]] ya [[buluu]] hadi [[zambarau]] na [[kijani]]. Inachimbwa kaskazini mwa [[Tanzania]] tu.
'''Tanzanaiti''' ''(Tanzanite)'' ni [[kito]] chenye [[rangi]] ya [[buluu]] hadi [[zambarau]] na [[kijani]]. Inachimbwa kaskazini mwa [[Tanzania]] tu.


Kito hiki kinapendwa sana kimataifa; [[bei]] zake zilicheza kati ya [[Dola ya Marekani|dola za Marekani]] 250 na 500 kwa [[karati]] moja (=milli[[gramu]] 200).
Kito hiki kinapendwa sana kimataifa; [[bei]] zake zilicheza kati ya [[Dola ya Marekani|dola za Marekani]] 250 na 500 kwa [[karati]] moja (=milli[[gramu]] 200).

Pitio la 06:10, 26 Juni 2020

Kito cha Tanzanaiti katika hali asilia
Tanzanaiti baada ya kukatwa na kung'arishwa

Tanzanaiti (Tanzanite) ni kito chenye rangi ya buluu hadi zambarau na kijani. Inachimbwa kaskazini mwa Tanzania tu.

Kito hiki kinapendwa sana kimataifa; bei zake zilicheza kati ya dola za Marekani 250 na 500 kwa karati moja (=milligramu 200).

Kikemia ni aina ya madini ya Zoiziti ambayo haina thamani kubwa vile katika maumbo mengine. Lakini tanzanaiti bandia inatengenezwa kwa kupasha moto fuwele za zoiziti ya kawaida zinazobadilika rangi motoni.

Tanzanaiti iligunduliwa mara ya kwanza mwaka 1967 katika milima ya Mererani kwenye Wilaya ya Simanjiro, karibu na Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro na mji wa Arusha. Ili gunduliwa na mtanzania aitwaye Jumanne Mhero Ngoma mkoani Manyara. Manuel D'souza alituma Sampo hiyo kwa mwanageologia John saul ambaye ana cheo cha PhD kutoka chuo cha M.I.T, ambaye alituma Sampo hiyo kwababa yake, ika pelekwa havard University kwa wataalamu wa madini na kuthibitishwa kwamba ilikuwa ni kito cha Aina ya Zoizite.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: