Ufagio : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[File:Besenbinder.JPG|thumb|upright|Mtu akitengeneza fagio.]] |
[[File:Besenbinder.JPG|thumb|upright|Mtu akitengeneza fagio.]] |
||
[[Picha:Several brooms for sale in Japan.jpg|thumb|271x271px|Aina za mifagio inayopatikana japani.]] |
|||
'''Ufagio''' (kutoka [[kitenzi]] "kufagia") ni [[kifaa]] kinachotumika katika [[usafi]] wa sehemu mbalimbali. |
'''Ufagio''' (kutoka [[kitenzi]] "kufagia") ni [[kifaa]] kinachotumika katika [[usafi]] wa sehemu mbalimbali. |
||
Toleo la sasa la 14:15, 28 Julai 2019
Ufagio (kutoka kitenzi "kufagia") ni kifaa kinachotumika katika usafi wa sehemu mbalimbali.
Kazi za ufagio ni kwamba hutumika kusafisha eneo, vitu n.k.
Katika utamaduni wa Afrika Mashariki chelewa ni njiti nyembamba ambazo ndizo zinazotumika mara nyingi utengezea ufagio. Pia vinaweza kutumika nyasi au makumbi.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ufagio kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |