Nenda kwa yaliyomo

Njiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Njiti ni mtoto aliyezaliwa kabla ya kutimiza kawaida ya ujauzito, yaani wiki 37 kwa binadamu.[1]

Mara nyingi mtoto wa namna hiyo anazaliwa hai baada ya miezi saba ya ujauzito.

mtoto njiti katika joto
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-10-23. Iliwekwa mnamo 2018-10-25.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Njiti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.