Ufagio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mtu akitengeneza fagio.

Ufagio (kutoka kitenzi "kufagia") ni kifaa kinachotumika katika usafi wa sehemu mbalimbali.

Katika utamaduni wa Afrika Mashariki chelewa ni njiti nyembamba ndizo zinazotumika kutengezea ufagio. Pia vinaweza kutumika nyasi au makumbi.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ufagio kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.