Tikisa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 22: Mstari 22:
* ''Amaurocichla bocagei'', [[Tikisa Mkia-mfupi wa Sao Tome]] ([[w:São Tomé Shorttail|São Tomé Shorttail]])
* ''Amaurocichla bocagei'', [[Tikisa Mkia-mfupi wa Sao Tome]] ([[w:São Tomé Shorttail|São Tomé Shorttail]])
* ''Motacilla aguimp'', [[Tikisa-majumba]] ([[w:African Pied Wagtail|African Pied Wagtail]])
* ''Motacilla aguimp'', [[Tikisa-majumba]] ([[w:African Pied Wagtail|African Pied Wagtail]])
* ''Motacilla a. aguimp'', [[Tikisa-majumba Kusi]] ([[w:Southern Pied Wagtail|Southern Pied Wagtail]])
** ''Motacilla a. aguimp'', [[Tikisa-majumba Kusi]] ([[w:Southern Pied Wagtail|Southern Pied Wagtail]])
* ''Motacilla a. vidua'', [[Tikisa-majumba wa Kawaida]] ([[w:African Pied Wagtail|African Pied Wagtail]])
** ''Motacilla a. vidua'', [[Tikisa-majumba wa Kawaida]] ([[w:African Pied Wagtail|African Pied Wagtail]])
* ''Motacilla alba'', [[Tikisa Mweupe]] ([[w:White Wagtail|White Wagtail]])
* ''Motacilla alba'', [[Tikisa Mweupe]] ([[w:White Wagtail|White Wagtail]])
** ''Motacilla a. alba'', [[Tikisa Mweupe wa Ulaya]] ([[w:White Wagtail|European White Wagtail]])
** ''Motacilla a. alba'', [[Tikisa Mweupe wa Ulaya]] ([[w:White Wagtail|European White Wagtail]])

Pitio la 13:40, 11 Desemba 2018

Tikisa
Tikisa-majumba (Motacilla aguimp)
Tikisa-majumba
(Motacilla aguimp)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Passeroidea
Familia: Motacillidae (Ndege walio na mnasaba na matikisa)
Horsfield, 1821
Ngazi za chini

Jenasi 3:

Matikisa au vibikula ni ndege wa jenasi Motacilla, Amaurocichla na Dendronanthus katika familia ya Motacillidae. Wana mkia mrefu ambao wanautikisa mara kwa mara. Ndege hawa ni wadogo na wembamba na spishi kadhaa zina rangi nzuri. Hukamata wadudu ardhini na hutaga mayai 4-8 ndani ya kikombe cha manyasi ardhini.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

Picha