Posta ya Kijerumani Lamu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Reichspost Kolonien.jpg|300px|thumbnail|Mfano wa sare ya wafanyakazi kwenye makumbusho ndani ya jengo la Posta ya Kijerumani mjini Lamu]]
[[Picha:Reichspost Kolonien.jpg|300px|thumbnail|Mfano wa sare ya wafanyakazi kwenye makumbusho ndani ya jengo la Posta ya Kijerumani mjini Lamu.]]
'''Posta ya Kijerumani''' katika mji wa [[Lamu]], [[Kenya]] ni jengo la kihistoria na makumbusho ya kipindi cha ukoloni wa Kijerumani kwenye pwani la Kenya.
'''Posta ya Kijerumani''' katika [[mji]] wa [[Lamu]], [[Kenya]] ni [[jengo]] la kihistoria na [[makumbusho]] ya kipindi cha [[ukoloni]] wa Kijerumani kwenye [[pwani]] ya Kenya.


Jengo hili likasimikwa kama posta ya Dola la Ujerumani tarehe 22 Novemba 1888. Lamu haikuwa eneo la Kijerumani lakini ilikuwa bandari ya pekee iliyotembelewa na meli za Kizungu katika sehemu hii ya pwani. Zaidia ya hayo Lamu ilikuwa jirani na eneo la [[Usultani ya Witu]] ambayo iliwahi kuingia katika [[nchi lindwa|uhusiano wa ulinzi]] na Ujerumani tangu 1885.
Jengo hili likasimikwa kama posta ya [[Dola la Ujerumani]] [[tarehe]] [[22 Novemba]] [[1888]]. Lamu haikuwa eneo la Kijerumani lakini ilikuwa [[bandari]] ya pekee iliyotembelewa na [[meli]] za [[Mzungu|Kizungu]] katika sehemu hii ya pwani. Zaidi ya hayo Lamu ilikuwa jirani na eneo la [[Usultani wa Witu]] ambayo iliwahi kuingia katika [[nchi lindwa|uhusiano wa ulinzi]] na [[Ujerumani]] tangu [[mwaka]] [[1885]].


Mradi wa kikoloni wa Kijerumani katika Witu ilianzishwa na [[Clement Denhardt]] ni yeye aliyeanzisha pia posta Kam kisiwani.
Mradi wa kikoloni wa Kijerumani katika [[Witu]] ulianzishwa na [[Clement Denhardt]] na ndiye aliyeanzisha pia posta Kam kisiwani.


Posta hii ilifanya kazi kwa mufa mfupi tu kwa sababu mwaka 1890 Ujerumani ilikabidhi eneo la Witu kwa Uingereza na ofisi ikafungwa 3 Machi 1891.
Posta hii ilifanya kazi kwa [[muda]] mfupi tu kwa sababu mwaka [[1890]] Ujerumani ilikabidhi eneo la Witu kwa [[Uingereza]] na [[ofisi]] ikafungwa tarehe [[3 Machi]] [[1891]].


==Viungo vya Nje==
==Viungo vya nje==
* http://www.museums.or.ke/content/view/53/24/
* http://www.museums.or.ke/content/view/53/24/
{{mbegu-historia}}



[[Jamii:Lamu]]
[[Jamii:Lamu]]
[[Jamii:Witu]]
[[Jamii:Historia ya Kenya]]

Pitio la 07:59, 30 Septemba 2018

Mfano wa sare ya wafanyakazi kwenye makumbusho ndani ya jengo la Posta ya Kijerumani mjini Lamu.

Posta ya Kijerumani katika mji wa Lamu, Kenya ni jengo la kihistoria na makumbusho ya kipindi cha ukoloni wa Kijerumani kwenye pwani ya Kenya.

Jengo hili likasimikwa kama posta ya Dola la Ujerumani tarehe 22 Novemba 1888. Lamu haikuwa eneo la Kijerumani lakini ilikuwa bandari ya pekee iliyotembelewa na meli za Kizungu katika sehemu hii ya pwani. Zaidi ya hayo Lamu ilikuwa jirani na eneo la Usultani wa Witu ambayo iliwahi kuingia katika uhusiano wa ulinzi na Ujerumani tangu mwaka 1885.

Mradi wa kikoloni wa Kijerumani katika Witu ulianzishwa na Clement Denhardt na ndiye aliyeanzisha pia posta Kam kisiwani.

Posta hii ilifanya kazi kwa muda mfupi tu kwa sababu mwaka 1890 Ujerumani ilikabidhi eneo la Witu kwa Uingereza na ofisi ikafungwa tarehe 3 Machi 1891.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Posta ya Kijerumani Lamu kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.