Frati : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: diq:Roê Fırati
d robot Adding: vi:Euphrates
Mstari 88: Mstari 88:
[[uk:Євфрат]]
[[uk:Євфрат]]
[[ur:دریائے فرات]]
[[ur:دریائے فرات]]
[[vi:Euphrates]]
[[wa:Ufrate (aiwe)]]
[[wa:Ufrate (aiwe)]]
[[zh:幼发拉底河]]
[[zh:幼发拉底河]]

Pitio la 22:13, 28 Desemba 2007

Mto Frati
Frati karibu na mji wa Raqqa / Syria
Chanzo Uturuki ya Mashariki
Mdomo Ghuba ya Uajemi kwenye Shatt al Arab
Nchi Uturuki, Syria, Iraq
Urefu 2,800 km
Kimo cha chanzo 4,500 m
Tawimito Murat, Karasu
Mkondo 818 m³/s (wastani)
Eneo la beseni 765,831 km²
Miji mikubwa kando lake Ramadi, Falluja, Babeli


Mto Frati (Kigiriki: Ευφράτης euphrátēs; Kiakkadi: Pu-rat-tu; Kiebrania: פְּרָת Pĕrāth; Kiaramu: ܦܪܬ Prâth; Kar.: الفرات al-furāt; Kituruki: Fırat; Kikurdi: فرهات, Firhat) ni mto mkubwa wa Asia ya magharibi. Pamoja na Hidekeli inatoka katika milima ya Uturuki ya Mashariki na kuunda eneo la Mesopotamia katika Iraq.

Katika Biblia imetajwa kama mto mmojawapo wa paradiso.

Frati ina urefu wa takriban 2,781 km. Baada ya kutoka katika nyanda za juu za Uturuki inaingia katika tambarare ya jangwa la Shamu na kuendelea katika Iraq inapopita kwenye maghofu ya Babeli. Karibu na mji wa Basra mto unaungana na mto Hidekeli na kuitwa Shatt al Arab hadi mdomo wake katika Ghuba ya Uajemi.

Malambo kwenye Frati (Euphrate) na Hidekeli (Tigre)

Mto Frati unapita katika maeneo makavu hivyo nchi zote unapopita zianjaribu kutumia maji yake kwa vituo vya kuvuta maji na malambo mbalimbali yaliyounda maziwa makubwa.