Tofauti kati ya marekesbisho "Pi (namba)"

Jump to navigation Jump to search
73 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
Jinsi ilivyo kawaida kwa [[herufi]] mbalimbali za [[Kigiriki]], Pi pia inatumika kama [[kifupisho]] kwa ajili ya [[maarifa]] na [[dhana]] za [[hesabu]] na [[fisikia]].
 
Imejulikana hasa kama namba ya duara. Ikiandikwa inanaza 3.1415926535897932384626433832795028841141592653589793238462643.... lakini haiwezi kuandikwa kamili, kwa kuongeza tarakimu baada ya nukta hazinamaana hakuna mwisho. Namba za aina hii zisizo sehemu ya namba nyingine au ambazo haziwezi kuonyeshwa kuwa wianisho safi baina namba kamili huitwa [[namba zisizowiana]].
 
[[Chamkano]] cha 22/7 ni karibu zaidi na Pi na 355/113 ni karibu zaidi tena.

Urambazaji