Rekodi kuu za umma
Mandhari
Hapa panaonyeshwa kumbukumbu zote za Wikipedia kwa pamoja. Unaweza kuona baadhi yao tu kwa kuchagua aina fulani ya kumbukumbu, jina la mtumiaji fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo), au jina la ukurasa fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo).
- 11:27, 8 Julai 2024 Xprnj majadiliano michango created page Yusuph Said Salim Bakhresa (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Yusuph Said Salim Bakhresa''' ni mtoto wa mfanyabiashara na mwanaviwanda maarufu kutoka Tanzania, Said Salim Bakhresa. Yusuph Said Salim Bakhresa ni Mkurugenzi Mkuu wa Azam Media Limited. Pia, anashiriki kikamilifu katika shughuli za kila siku za Bakhresa Food Products Ltd.<ref>https://bakhresa.com/board-of-directors/</ref> <ref>https://tanzania.mom-gmr.org/en/owners/individual-owners/detail/owner//the-bakhresa-family-1/</ref> ==Marejeo== {...')
- 11:20, 8 Julai 2024 Xprnj majadiliano michango created page Abubakar Said Salim Bakhresa (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Abubakar Said Salim Bakhresa''' ni mtoto wa mfanyabiashara na mwanaviwanda maarufu kutoka Tanzania, Said Salim Bakhresa. Abubakar Said Salim Bakhresa anasimamia Bakhresa Malawi Limited, Bakhresa Grain Milling (Rwanda), Bakhresa Grain Milling Limitada (Msumbiji) na Bakhresa South Africa (Pty) Limited. Abubakar Said Salim Bakhresa ana shahada ya kwanza ya Sayansi katika Usimamizi wa Biashara, somo kuu likiwa Fedha kutoka chuo kikuu cha George Town...')
- 11:05, 8 Julai 2024 Xprnj majadiliano michango created page Mohamed Said Salim Bakhresa (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mohamed Said Salim Bakhresa''' ni mtoto wa mfanyabiashara na mwanaviwanda maarufu kutoka Tanzania, Said Salim Bakhresa. Mohamed Said Salim Bakhresa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bakhresa Grain Milling (Uganda) Limited, kiwanda kikubwa zaidi cha kusindika ngano nchini Uganda. Amehitimu masomo ya Sheria na Utunzaji Fedha kutoka chuo kikuu cha London South Bank, Uingereza.<ref>https://www.jamiiforums.com/threads/ifahamu-familia-ya-said-salim-ba...')
- 09:33, 23 Juni 2024 Xprnj majadiliano michango created page Khalid Said Salim Bakhresa (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Khalid Said Salim Bakhresa''' alizaliwa tarehe 7 mwezi wa Aprili mwaka 1985 na kufariki kwa ajali ya gari katika mashindano ya magari Unguja Tanzania, tarehe 16 mwezi Disemba mwaka 2007.<ref>http://motorsportmemorial.org/focus.php?db=ct&n=7196</ref> Khalid Said Salim Bakhresa ni mtoto wa Said Salim Bakhresa.<ref>https://billionaires.africa/2022/02/28/building-a-multigenerational-family-business-empire-a-study-of-metl-and-bakhresa-of-tanzania/</r...')
- 08:53, 23 Juni 2024 Xprnj majadiliano michango created page Omar Said Salim Bakhresa (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Omar Said Salim Bakhresa''' ni Mhandisi Mitambo na Mkurugenzi Mtendaji anayesimamia Divisheni ya Usafirishaji ya Said Salim Bakhresa & Company Limited. Ana zaidi ya miongo miwili ya uzoefu katika tasnia ya vifaa na usafirishaji.<ref>https://bakhresa.com/board-of-directors/</ref><ref>https://billionaires.africa/2022/02/28/building-a-multigenerational-family-business-empire-a-study-of-metl-and-bakhresa-of-tanzania/</ref> ==Marejeo==')
- 08:01, 23 Juni 2024 Akaunti ya mtumiaji Xprnj majadiliano michango ilianzishwa na mashine